Makamu mkuu wa chuo Udom:Profesa Kikula awadanganya wanafunzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamu mkuu wa chuo Udom:Profesa Kikula awadanganya wanafunzi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by CHIPANJE, Jan 3, 2012.

 1. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wanafunzi wa chuo cha elimu Udom wamekusanyika utawala mkuu kutaka pesa zao ambazo zimeshafika chuoni,wamesaini lakini hawajalipwa.

  Makamu mkuu wa chuo adai pesa zitatoka kabla ya Ijumaa.
   
 2. Ikimura

  Ikimura Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani Ijumaa isha fika???
   
 3. M

  Maga JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Uongo uko wapi hapo?
   
 4. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,345
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Panapofuka moshi kuna moto mkuu nadhani wanafunzi hapo wameshaonana dalili za sanaa za maonyesho.Ijumaa haijafika lakini mkuu siku hizi sanaa mpaka ngazi ya familia ndy maana wanaonyesha wasiwasi wao kwa prof.
   
 5. M

  Maiga Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mimi nilikuwepo, pale utawala, katoa hlo tamko, tungoje kama ni uongo au la! Ila ,mkuu badili title, mim nilikuwepo ,
   
 6. H

  Hau Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tutawaekea wachache ili tupunguze malumbano... Na huku pesa ikawa hiko kwenye process
   
 7. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wewe kama ni critical thnker utakubal kua kauli za Prof hazkua na ukwel kwa kujikanyaga-kanyaga.
   
 8. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Sasa si wameshasaini kuwa tayari wameshachukua hela, wanadai nini tena?
   
Loading...