Wahadhiri UDOM waishi hotelini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahadhiri UDOM waishi hotelini

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NGOWILE, Jan 14, 2012.

 1. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Baadhi ya wahadhiri(doctors na maprofesa) wa chuo kikuu cha Dodoma wanaishi na familia kwenye hoteli za kifahari mkoani Dodoma kwa kutumia pesa za mlipa kodi mnyonge wa kitanzania.Kwa muda wa zaidi ya miezi kumi hadi hivi sasa.hoteli wanazoishi ni pamoja na Dodoma grand hotel,new Dodoma hotel,cana lodge,na nyinginezo.Wadau hii ni halali au ni matumizi mabaya ya fedha za watanzania hasa ukizingatia nyumba zinapatikana Dodoma kwa bei nafuu? Naomba kuwasilisha.
   
 2. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  tupe majina yao na chanzo cha hbr yako.
   
 3. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ungesoma na wewe ungejiachia kama wao.
  OTIS
   
 4. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nimeweka majina ya hotel nina uhakika kwani niliongea nao.sitapenda kutaja majina yao mtandaoni kwa usalama wao.
   
 5. v

  valid statement JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kuna shida gani wakilala hoteli?
   
 6. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  alale kwa pesa zake sio kwa pesa za watanzania maskini.
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Umejuaje kama sio hela zao
  OTIS
   
 8. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nimefanya maongezi na wawili kati yao.mmoja ana vyumba viwili ambavyo vyote viwili ni sh.200000 kwa siku bila gharama za chakula.
   
 9. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama umefanya nao mazungumzo nakushauri ukamilishe utafiti wako badala ya kutuletea habari nusu nusu
  OTIS
   
 10. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kipi hujaelewa?
   
 11. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nashauri chuo kifanye mpango wa kuwatafutia nyumba za kupanga ili kuepuka kutumia fedha nyingi kwa matumizi yasiyo ya lazima. Kuna Dr. Mmoja wa sheria ameajiriwa hivi karibuni anakaa hotelini kwa gharama zake.Kila anapofuatilia utaratibu wa nyumba anapigwa danadana. Je mwalimu muhimu kama huyo akiamua kwenda kufanya kazi katika nchi nyingine atalaumiwa? Taasisi zetu ziwajali watumishi wake kwa kuwapa stahili zao.
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kama ni kwa pesa zao sawa,lakn ka ni zetu sie walipa kodi,haikubaliki kabisa.
   
 13. H

  Hau Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya ndio maisha ya bongo hakipata leo kesho wewe.. Tanzania ni miaka kumi ikiisha tu anakuja mwengine..
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kwahiyo umetuambia ili iweje?
   
Loading...