Hivi rushwa na huu utandawazi wa M-pesa, Tigo-pesa.. Inakuwaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi rushwa na huu utandawazi wa M-pesa, Tigo-pesa.. Inakuwaje

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Hau, Feb 2, 2012.

 1. H

  Hau Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona sasa kuna uwezekana mkubwa rushwa kuongezeka kupitia huduma hizi.. Tena jinsi nchi ilivyo sioni umuhimu wa taasisi ya pccb.
   
 2. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe HauUsitutoe kwenye mada muhimu ya Madaktari acha . Japo ni kweli Pccb ni chuma ulete ya ccm. Kenya wanataka ivunjwe ili kuokoa pesa za walipakodi wanazopewa na hakuna matunda. Zamani kule India waliwahi kuunda Pccb ya kwao lakini ikabidi waunde anti- Pccb ngazi tatu kwa kuwa India wakati huo walikuwa na watu milioni 900 siku hizi wanakaribia milioni 1200 washavunja hawana hiyo kitu inaitwa Takukuru. Wachina wao hula rushwa ikifika dola 10000 sawa na yuan 50,000 unanyongwa bila hakimu na bado wachina wanakula rushwa mpaka liambe kwa wadosi wala usipime! Kama Rais anakula rushwa do you need Takukuru? Huyo **** Kalulu alisamehe waliokwapua pesa za EPA bila mahakama sasa Takukuru ya nini?
   
 3. franktemu123

  franktemu123 JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 775
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 80
  Tatizo si utandawazi mkuu. Mi naona tatizo lipo kwa tuliwapa mamlaka huko Juu hawataki kufikiri nak kubadilika kwa wakati wao wanajisahau wanafikiri tanzania ipo peke yake(kisiwa humu duniani (hatuna sheria zinazokwenda na kasi ya Teknolojia zinazoibuka kila siku. Duniani huko hata upitishie rushwa wapi (kwa internet, Mobile-Pesa,M-PESA sheria inaweza kukung'amua maana hakuna aliye juu ya Sheria so hata hayo makampuni ya simu,internet sheria inawabana kutoa siri kwa transaction zinazotia shaka kwa manufaa ya nchi, hapa TZ tuna Tume ya Kurekebisha Sheria, Bunge ambazo zingekuwa na viongozi makini walioajiriwa sio kwa upendeleo (UDINI, UKABILA, MTANDAO) mfano mzuri angalia safu ya Baraza la mawaziri wengi wao ama ni Waislamu, au wametokea maeneo karibu na Mkuu (Bagamoyo, Kilosa( Mkuu lo!), Mkoa wa Pwani (kawa mbwa), Lindi(M embe, Majaliwa) Mtwara (Gha Sia), Uislamu (mba Rawa, Na hodha, Malima) NETWORK (Lu kuvi, Nchi mbi) nyumba ndogo za zamani ( S.Simba, wa Pwani Ma Hiza) TZ tungekuwa nchi y a kupigiwa mfano......kule UDOM Prof (VC), DVC(Administration). But tujifunze kitu kwa wenzetu wenye mafanikio japo wametoka kuchinjana juzi tu. so issue hapa ni ufinyu wa mawazo kwa WATEULIWA (unapewa dhamana NO INTERVIEW YA WAZI, HAKUNA WA KUKUWAJIBISHA ZAIDI YA MKUU MWENYEWE ndo maana mambo hayaendi.
   
Loading...