Fununu za matokeo

Du kumbe JF tuna hadi watoto wa kidato cha nne? Ehee subiri kuzungusha tu dogo,enzi zetu tulikua tunasoma tunatafuta A Flat zote na sio Div I ya point 7.
 
Matokeo yako mbioni,usahihshaj tayari,na nadhan kinachofanyika sasa ni upangaji wa matokeo,hope yatatoka kabla ya mtihani wa kidato cha VI
 
Fununu zitakusaidia nini/
Subiri matokeo yatoke uvune haki yako.
OTIS
 
Jitu lilikua halisomi,kutwa liko facbuk,leo matokeo yanakaribia kutoka ndo lnajifanya kupandwa na presha..subir upokee zero yako.over
 
Jitu lilikua halisomi,kutwa liko facbuk,leo matokeo yanakaribia kutoka ndo lnajifanya kupandwa na presha..subir upokee zero yako.over

Ndugu yang jarb kupunguza ukali wa kauli zako ww km msomi unaetegemewa na jamii jarb walau kdg ku2mia hekm na busara ktk maongez yako,kwnn ucmuombee dua huy mdogo wako ili afaulu vzr nae aweze kutmiza ndoto zake za kufka mbal km ambapo ww upo hv sasa?kwnn umtolee kauli za kumkatisha tamaa kiac hcho kaa ukijua kwamb kupt ziro co kuzur kbs na hakuna m2 anapenda imtokee au je ww mwenyw unapenda kupt disco?jarbun kuwapa moyo wadogo zetu na c kuwakatisha tamaa au hamtaki na wao waje washikilie matawi ambayo kwa sas nyie mmeyashikilia?Dogo ucwaze muombe Mungu akufanyie wepec ktk matokeo yako atakukujalia 2.Inshaallah!
 
Bonafide acha uoga wewe,hakuna anayemtisha hapa,dogo atavuna alichokipanda kwa nini aanze kuyaogopa matokeo,enzi zetu tunawaza nitapata point 7 ya A flat au A 7 kamili na B mbili? Na siyo huyo dogo anaogopa matokeo kama mda wote wa masomo yeye alikua badoo,Whatsup,moco,facebook,twiter unategemea nini?
 
Mimi siwezikupata zero,najua nitapata four au three nakuingia polisi kusudi nitoke kimaisha mapema.
 
ndio maana nyie brother mkimaliza vyuo mnakosa kazi kwa kukaa sana mitaani kwa kuombea sisi ndugu zenu mabaya.... Jua ukila damu ya mwenzako basi subiri na yako kuliwa.
 
Keep on praying my young brother kwani huko ndiko kwenyewe,Mungu anatenda cku zote kwenye mazingira ambayo huyategemei
 
Habari nilizopata kutoka jikoni ni kwamba mwaka huu vijana wamefanya vibaya sana labda baraza waamue kustandardise ndo wengi watapona otherwise hali si shwari na ndo maana serikali imeamua kurudisha mtihani wa form two na kuweka sheria kali ili kupunguza idadi ya wanaofeli form four.
 
Habari nilizopata kutoka jikoni ni kwamba mwaka huu vijana wamefanya vibaya sana labda baraza waamue kustandardise ndo wengi watapona otherwise hali si shwari na ndo maana serikali imeamua kurudisha mtihani wa form two na kuweka sheria kali ili kupunguza idadi ya wanaofeli form four.[/QUOaTE]

Heh!kazi ipo!
 
Back
Top Bottom