Recent content by happy123

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume nao huandaliwa kabla ya tendo?

    kuna wanaume wengine ni wavivu jamani yaani kamoja na hataki kurudia ukimwambia anakwambia amechoka na huyu apewe maandalizi gani..
  2. H

    JamiiForums Tanzania Moyo sukuma damu.. RIP Bro

    Duu..Maamuzi magumu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Natamani kwenda kufanya uhausegirl huko majuu au Kazi za hotelini
  4. H

    JamiiForums Tanzania Swali:Kwa nini unaipenda smartphone yako?

    Jamani watu mnachekesha...njoo nikupe tecno
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ukiishi Ughaibuni, ndugu, jamaa na marafiki wa Bongo wanafikiri maisha yako yako hivi...

    Wanajua marekani mnachuma pesa poleni sana
  6. H

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa ni magumu sana

    Nashukuru kaka huyu mume wangu sijaona kasoro yoyote kwake ni mstaarabu msomi sema maisha yetu bado ni ya chini sanaaa na ndugu hawakubali maisha ninayoishi sasa sijui wanataka nifanyeje
  7. H

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa ni magumu sana

    Ahsante
  8. H

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa ni magumu sana

    Unakuta binti unatoka familia ambayo ni bora kidogo unakutana na kijana ambaye kiuchumi yupo chini mnaoana lakini maneno yanakuwa Mengi ndugu hawamuheshimu mume wako wanamdharau wanaona kama ulikosea kuchagua. Binti unadharaulika kwenye familia yenu kila unachoongea hakina maana, ndugu...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tunaopenda kuwaingiza wake zetu mitegoni tujifunze kwa mfano huu...

    Hizi hadithi zimezidi mengine mpaka kusoma unaona aibu
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atasababisha nife kwa kweli...

    Stori yako inatufundisha nini?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa mzungu lakini sioni hata uwezekano

    Wanasemaga wazungu wa baridii utawaweza jaribu weusi uone ladha yake kabla hujampata mzungu
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anaepetipeti VS Mwanaume mtundu kitandani

    Mwanaume mbabe kitandani ndio yuko poa Huyo wa kubebembelezana hapana mbabe mpaka mwenyewe unaomba poo...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

    Mbona haueleweki jamani hebu rekebisha makosa
  14. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kila nikifanya mapenzi nachanika ukeni

    Jamani lily..labda ndo unaanza anza mpenzi Mimi saa zingine nikisoma post humu najiskia aibu lol..pole sana mwanzo mgumu
  15. H

    JamiiForums Tanzania Natafta rafk wa jinsia yeyote

    OK best usijali umepata
Back
Top Bottom