Mke wangu atasababisha nife kwa kweli...

Mke wangu atasababisha nife kwa kweli...

Kwanini unganganie hapo na ushafanywa bwege au kuna cha mnato ndio umependezewa wiki mara moja
 
In Ojuelegba
They know my story
From Mo'Dogg studio
I be hustle to work eeeeh
Ni ojuelegba ooooh

I am feeling good tonight
This thing got me thanking God for life
Oh, I can't explain
I can't explain eh yea
 
  • Thanks
Reactions: RFP
sasa nimemuoa yaani napata unyumba wakati mwingine kwa week mara moja tu nami sipend kumsumbua sana maana sipendi niichoshe sehem yake ya siri.


tena nikipiga moja tu anasema basi anataka kulala. mi mashine inakuwa bado inataka tena but siwez mlazimisha. hivyo nakunywa mafuta ya taa hamu inaisha nalaa..

ni mwendo wa hudhurungi tu..
A-Nice-Cup-of-Tea-English-Tea-779071.jpg
 
kawatungie watoto: hadithi hadithi uwongo njooo utamu kolea!! mtu amtaje mwanaume anamfanya tena anauumiza bado unasema mnapendana!! au mpaka akuletee ndani???????????
 
Yan kwa sasa stori zimeisha......Mijini na vijijini, jijini na mikoani......Story Ni UKUTA......Umekaa weeeee...ukaamua utafute story...........nimekutukania tumboni mshamba ww..................
 
boya kabisa japonimecheka katikati ya kusoma huku nikiwaza ku comment we ni boya na utatuzingua tu...
 
Toka nimemuoa huu ni mwaka wa 2 nampenda sana kiasi hata yeye anajua kuwa kwake sipumui,sihemi. yaani nakuwa kama fala tu. kiukweli nlihangaika sana kumpata nmemfukuzia kama miaka 2 hivi. siku moja kama ndoto akaubali basi tukaanza uhusiano ila alinambia nisifikirie kabisa habari za kukamuana mpaka ndoa.... basi nikawa mi nauza naye sura tu.ananipigia simu nimpeleke au nikamchukue sehem flan .siku nyingine akiwa ana kunywa na rafikize wa kike na kiume then ananambia nikamchukue.naenda bila hiyana nampeleka kwake.

kipindi chote hicho alikuwa akinitambulisha kwa rafikize kuwa mi ni rafikiye.nlimuuliza why akanambia hatujawa wachumba so hawez niita mpenz wakat bado. ila nilikuwa naenjoy sana kuuza naye sura maana ameumbika sana huyu dada. alikuwa anaweza nipigia simu hata saa nane usiku nikamchukue klabu naenda namrudisha kwao.alikuwa anapenda sana kwenda klabu na rafiki yake anaitwa benny. huyu jamaa alikuwa rafiki yake sana na alinambia hamna wa uwatenganisha urafiki wao.mpaka leo huwa ananiaga anaenda kumsalimia benny.

sasa nimemuoa yaani napata unyumba wakati mwingine kwa week mara moja tu nami sipend kumsumbua sana maana sipendi niichoshe sehem yake ya siri.tena nikipiga moja tu anasema basi anataka kulala. mi mashine inakuwa bado inataka tena but siwez mlazimisha. hivyo nakunywa mafuta ya taa hamu inaisha nalaa.siku nyingine anarudi amechoka sana ananambia nimletee chakula room ale akila anajitupa kitandan basi natoa vyombo na kusafisha meza tunalala hapo hatak hata nimkumbatie. na kiukwel kukumbatiana nako kuna joto sana.basi namwacha mke wangu mpenzi alale.

mi ntakufa tu kwa mapenzi maana nampenda huyu mwanamke acha kabisa.salary yangu yeye ndo huenda kutoa nlimpa kadi ya bank na password alibadilisha akaweka anayoijua yeye tu ili nisiwe natoa hela halaf naonga michepuko.so huwa anatoa kkisha ananipa kiasi ya nauli kwa mwezi. ananonekana ananipenda ana wivu sana. akirud toka kwenye mizunguko yake huwa anaoga tu na kuangalia tv mimi inabid ndo nimwandalie kila kitu kwa jinsi tunavyopendana.

kuna siku alirudi amelewa tukalala naye akawa maskini anaota anamtaja benny.nikamwonea huruma jinsi ambavyo analalamika kuwa benny anamuumiza afanye polepole.ikabidi nimuamshe ili asiumie zaidi nikamwambia ndo akasema huyo benny alikuwa anamkuna mgongoni hivyo alikuwa anamwambia amkune polepole. basi ndo hivyo mapenzi yangu jaman na huyu mwanamke yamfika mlima kilimanjaro...yaani tunapendana kufa.

Duuu yan ww ni bwege tunyunyu inabidi tukufyatue
 
Unampikia, unatoa vyombo na bado Benny amkune taratibuu uwiiiii siwezi kuwa mm
 
Back
Top Bottom