Muuliza swali nadhani jibu lako umeshalipata yaani ni kwamba:WANAWAKE WANAPENDA MTU MWENYE MAHABA aka MWENYE KUPETI PETI na siyo SEX MACHINE hilo lisex machine mpelekee Magufuli akaliongeze kwenye sera yake ya nchi ya viwanda labda litafaa somewhere,kwa kifupi ni kweli walichofunguka kina dada wala hawajasema uongo,ni kwamba wanawake wengi wanapenda mtu mwenye kujali na sio mpenda ngono ,japo wapo wachache wanaweza kuchagua mpenda ngono dhidi ya yule mwenye kujali, lakini anakuwa ana matarajio ya kwamba huyo mtu atakuja kubadilika ,lakini siku zinaenda na habadiliki hivyo inabidi awe nae tu hivyo hivyo ilimradi tu,lakini ikatokea kwa bahati akatokea mwenye kujali,haaa ndugu yangu mwanaume utaachwa kama vile hajawahi kukupenda na ndo hapo utajua kumbe mapenzi sio tu kujua kuzungusha mbuno,kuna na mengine pia,na nina kubaliana na wanawake waliosema kwamba wanaweza kumfundisha mtu kubehave good in bed,hilo ni kweli hasa wale waliopitia unyagoni wana sifa hiyo kwani huwa wanafundishwa how to take care of their spouse huwa wanajua sana ,sema siku hizi hayo mambo hayapo sana,utandawazi ushayaondoa siku hizi wanawake wapo sana na Kitchen party ambayo inawafunda kijuujuu sana kuhusu mambo ya ndani.