Tunaopenda kuwaingiza wake zetu mitegoni tujifunze kwa mfano huu...

Wakuacha

JF-Expert Member
May 19, 2015
2,041
1,323
Habari wana MMU

Takribani siku miezi kadhaa iliyopita Rafiki angu Budole aliniita kwake nilipofika akaanza kuniambia kuwa Boss wangu,,anamsumbua sana mke wake kiasi kwamba anamfanya mkewe akose raha "" mie nikamuuliza je wewe unafikiria ufanye nini?? Akaniambia Mimi nataka nitafute watu ili niwalipe pesa halafu niongee na wife akubali mchezo waende lodge halafu yeye na wale washkaji waende wamle jicho(Tigo).

Kwa kuwa yule Boss ni mzinguaji mi mwenyewe simpendi hata pia hapa job wengi hawampendi nikamwambia mshikaji ni wazo zuri. Wife wa mshikaji akawa amekubali sasa mwanamke akawa mzito mume akampiga mkwara siku moja kuwa kwa nini anaakataa kwa hiyo inamaanisha ya kuwa teyari ameshampa tunda. Ukatokea ugomvi kweli baina yao.

Jana majira ya saa 1 asubuhi jamaa akafanya mpango akamset mke wake kuwa akubali. Yule Boss wangu akampigia simu mke wa mshikaji kuwa wakutane " Saradine Lodge", kweli mama akajiandaa.

Sasa Budole akaenda kuwaambia wale washkaji ambao walikuwa watano kuwa tayari mpango umekamilika akawapa pesa ya Advance kwanza. Akawaeleza jinsi yule mtu alivyo. Baada ya kupewa ramani wale jamaa yule Boss wangu walimuelewa kwa kuwa ni mtu ambaye huwa anaishi na masela wa kitaa vizuri kwa hiyo wale wale jamaa ndio waliomvujishia siri.

Wakampa mchongo mzima ilipofika saa mbili usiku jana tarehe 22/8/2016 jamaa akamuelekeza yule mke wa Budole akaenda. Mumewe alimsisitiza sana akifika asivue nguo awe mgumu mgumu halafu wao awatumie SMS faster wafike pale yeye na wazee Wa kifiro ambao amewaandaa.

Kufika pale mke wa mtu akazama ndani jamaa likaichukua simu ya mwanamke na kuizima. Kosa ambalo mumewe alilifanya ni kusubiri meseji kutoka kwa mkewe ili waingie faster. Yule boss wangu akala mke wa mtu ki nguvu nguvu. Mke wa mshikaji akaliwa faster na jamaa baada ya kumaliza mchezo. Kwakuwa alikuwa alishapenyezewa nyepesi nyepesi likaondoka faster eneo la tukio.

Ndio baadae washkaji wakaingia pale chumbani na kukutana mke wa mshikaji akilia tu huku akimtupia lawama mume wake, mzigo ushaliwa.

Jamani tusiwaweke katika risk wake zetu kiasi hiki maana mipango mingine huwa inafeli.

Nawasilisha



Natokeaga "Busega"
 
Hadithi kwa sababu huwezi kwenda eneo ulilotegwa halafu utegemee kujinusuru kwa kuzima simu ya mke wa mtu, je kama wakati unaingia chumbani na mke wake kuna watu wengine amewaweka standby, kwa maana kundi la kwanza likichelewa la pili linafika au yeye mwenyewe kajibanza sehemu?
 
Yaani anasubiri sms badala ya kuongozana nae alafu ajibanze tu nje Mzee akiingia na yeye anatimba na timu.tigo ya boss hahahah haleluyah
 
Hahahhh mecheka aisee pole yake jamaa kwa mke kuliwa bure bora angetegesha ya pesa badala ya tigo hao wahuni wangekubal
nimecheka saana
maana kahadithi kenyewe kanakosewa hivi hivi
mume anaona mke kaingia ndani dk 10 nado havamii
halafu minjemba eti inasubiri mlango ufungukiwe na jamaa anatoka salama kwanini msimkague na advance umetoa ya nini?
basi huyo Mama kwa raha zake hajaanza leo kwanini asibane hata mapaja akijua mtego tayari
KWANINI ASITOKE HATA NJE KUVUNGA VOCHA, AU CHOONI AU KUCHUKUA PED AJIKAYSHE? lol
 
Ulikuwa na maana gani akuite kukutaka ushauri halafu akupe wazo lake nawe usimpinge ukubali kirahisi halafu uje uandike huku? Wewe ndio umevujisha siri hakuna cha bosi kuishi vizuri na masela wala nini.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom