Swali:Kwa nini unaipenda smartphone yako?

article

Senior Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
192
Reaction score
349
Mi siipendi smart phone yangu kwa sababu zifuatazo:

1.Kamera yake haina uwezo wa kupiga picha angavu mchana kama usiku na usiku ndo sisemi.

2.Uwezo wake wa kuandaa taarifa ni mdogo sana siwezi hata kufungua app mbili kwa wakati mmoja.

3 . Smartphone yangu haina siri kila mtu anaweza kusoma taarifa zangu hata kama nikiweka password.

4 . Smartphone yangu ina kitundu ambacho sikipendi cha kuchagia manake na kuingizia data kwa kuwa kina utaratibu wa kuchomeka cable ukikosea kinakataa.

5.Inachagi kwa muda mrefu zaidi ya masaa matatu wakati simu ya rafiki yangu ndani ya saa limoja inakuwa inakaribia kujaa.

6.Nitafungiwa huduma za watsapp na facebook mwishoni mwa mwaka huu hata sijui nifanyeje.

7.Betri ya simu yangu ni hovyo kabisa hapa nimeichomeka kwenye chargi nikichomoa tu inazimika.

8.Kioo kimevunjia hapa naandika kwa shida kio chake ni bei ya kununua smartphone nyingine.

9.Simu yangu inazingua kusoma ninapokuwa kwenye jua kali mpaka niweke mkono inauzi!!.

10 .Smartphone yangu nikiingiza miziki mitano tu na kupiga picha mbili inaniambia memory full inauzi!

Sijui mwenzangu smart phone yako unaipenda?

Nawakilisha,

Article.
 
Kutatua matatizo yote hayo ni rahisi kama una droo hapo karibu...
 
Kama lisimu linakukera libadilishe tu.
Unalalamika utafikiri duniani ndo kuna simu hiyo hiyo moja tu?
Hiyo simu inayokufanya uombeleze kama kuna msiba ni simu gani?,au feature phone nini?
Mbona mimi simu yangu ni simpo tu tena mchina Ila sililii kuhusu betri wala nini.
 
Mi naipenda yangu coz ina screen yenye ukubwa nnaoupenda,resolution iko poa,graphics ziko poa,na kwa matumizi yangu storage memory,RAM na processor ziko poa
 
Back
Top Bottom