temeke mwisho sasa hivi trafiki wanakamata wavaa kata k, wameshanyoa watu watatu viduku, tunaelekea wapi? kweli hii ndio kazi tuliyowatuma polisi kwa kutumia kodi zetu?
nahitaji link ya simulizi ya yule alieenda mtwara, mtama kufanya kazi akakutana na mauza uza mpaka panya kugeuka joka kubwa... tafadhari mnisaidie mana hata jina ya hiyo simulizi siikumbuki
Acheni ushabiki usio na maana, binafsi napenda uhusiano wa wema na diamond ila mwanaume huwa anapenda zaidi ya kitandani na muonekano wa nje...am telling u guys siamond anampenda sana wema ila atakuja oa penny coz she is a wife material..wema aatendelea kummega milele...this is reality wether u...
Huyo aneisifia tigo nahisi ameajiliwa so lazima aisifie ili wateja waongezeka na kulinda kibarua chake.
Nina kama wiki moja sasa TIGO wamenifanyia mambo ya ajabu sana, nilinunua "kijisalio" changu kupitia tigo pesa yangu usiku, nia na madhumuni nipige kenya... Salio lilikua 2500 lakini...
Pole sana ndugu, najua ukimwi ulivyo coz nilimuuguza uncle wangu last year akanitoka... Inatakiwa ujikubali kama hivyo jitahidi kufuata ushauri wa madaktari unasaidia, yeye alikaa miaka kjaribu 20 na ukimwi, unachotakiwa usife moyo unauwezo wa kufanya ndoto zako achana na mawazo ya kwamba kifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.