Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

Mwanzoni kabisa mwa hii thread Mh, Vocalist Njunwa mavoco ameweka link tutorial ya kujipatia username yako na password yako

Vp mmeshachek hiyo tutorial au mmeanzia kusoma mwisho mnarudi mwanzo...
 
Embu kafany ww uone kama utafanikiwa.
 
Mwanzoni kabisa mwa hii thread Mh, Vocalist Njunwa mavoco ameweka link tutorial ya kujipatia username yako na password yako

Vp mmeshachek hiyo tutorial au mmeanzia kusoma mwisho mnarudi mwanzo...

Jaman kuna watu wanataka msaada,wengine ni ubabe tu punguzeni ili wajasilia mali kama kawa tuvute bytes friii
 
Njunwa wa mavoko, kwenye ile tutorial ya iOS, nikijaribu ku-download file config files linahitaji password, msaada kwenye hili.
 
Last edited by a moderator:
Nisaidieni password ya ku-unlock hilo
File
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1380351949947.jpg
    uploadfromtaptalk1380351949947.jpg
    21 KB · Views: 54
Hilo la kila m2 kupta usernam na passwrd yak ndo 2nalihtaji,,lkn nahc
jamaa hayuk tayr ku2saidia.

Mkuu all tutorial i"ve prepared yet unanambia siiko ready ku-help au unataka nikutafunie kila kitu
Nimewapa ushauri tumia source yangu natumia Google kujipatia ujanja na VPN providers mbali mbali search neno NMD VPN kwa mfano watakupeleka site za wahindi we usitumie configs zao maana ni za Airtel we chukua Server na jua wameichukua wapi ili ukajipatie usernem
 
mkuu bado kna v2 una2ficha,,mfano kweny ile tutorial yako ya kuedie configs kuna sehem umezfuta hapo ndo panaponipa wacwac.
 
kilichopo ni kwamba most servers hzo za kuedit zinakataa kbsaa, sijui kama kuna mtu ambaye imekubali.... afu kaka mkubwa katumia server zote kutoka meteorvpn ambayo server zake haziko wazi, wala information zake kwenye internet hzipo, kuna info za resellers tu kama yeye.. kwahyo ni either hawana wanatumia za client zingine ndio maana hawataki kuwa wazi au wanazo za kwao ila site yao na server zao havipo wazi .
 
mkuu kwa wale wa part B hkuna alyefanikiwa hata m1.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom