Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 6,000
JF raha sana aise!Usipovichukua Na wewe unijulishe ni vinunue
JF raha sana aise!Usipovichukua Na wewe unijulishe ni vinunue
Mbona mimi nna mchumba anafanya salun na hana shida... kwa nini unasema hivyo?Yani wanawake wa salon akiwa mkeo cjui...
ukibadili maamuzi nijulishe nivichukueUsipovichukua Na wewe unijulishe ni vinunue
Management ina ishu sana kweny biashara ii, muuzaji nadhan itakua anakimbia hiloDa biashara ya saloon huwa naiwazia sana shida management
But wenzio tunakula likes za kutosha kwa ujinga wetu 'jembe'
But wenzio tunakula likes za kutosha kwa ujinga wetu 'jembe'