Urgent message for Vodacom...

Urgent message for Vodacom...

nimejiunga blakberrry service ya mwezi na inaisha tarehe 28 kesho ila tokea tarehe 24 sipati huduma nikiwapigia kila siku wananiambia inashughulikiwa na siku zinaisha bila service yeyote sipati net sipati chochote

Pole sana mkuu,

Ndiyo hivyo, na wewe umeshafanywa shamba la bibi....
 
Naomba kama kuna mtu yuko karibu na Vodacom anifikishie ujumbe kwamba mtandao wao sasa unazidi kukera wateja.

Nimeweka pesa muda mfupi uliopita na kununua bundle ya Tsh 4200 kwa ajili ya kupiga mitandao yote. Jambo la kusikitisha ni kwamba siwezi kupiga simu kwa sababu naambiwa sina salio wakati nikiangalia balance ya bundle ninazo sekunde 10,035, SMS 9255 na MB 3294.

Nikijaribu kupiga customer care simu yao haipatikani.

Ahsante sana kwa yeyote atakayeweza kunisaidia.

pole sana mr igno, naona we ni muumini wa nunua mbili upewe moja bure.
 
Naomba kama kuna mtu yuko karibu na Vodacom anifikishie ujumbe kwamba mtandao wao sasa unazidi kukera wateja.

Nimeweka pesa muda mfupi uliopita na kununua bundle ya Tsh 4200 kwa ajili ya kupiga mitandao yote. Jambo la kusikitisha ni kwamba siwezi kupiga simu kwa sababu naambiwa sina salio wakati nikiangalia balance ya bundle ninazo sekunde 10,035, SMS 9255 na MB 3294.

Nikijaribu kupiga customer care simu yao haipatikani.

Ahsante sana kwa yeyote atakayeweza kunisaidia.

Pole mkuu, Airtell Yatosha kweli.
 
Yaani hadi saa hizi bado unalia na miti kwenye voda na tigo? Ujambazi huo nimekutana nao zaidi ya mara tano na hasa hasa tigo ndo majiiiizi hadi naogopa.NakushauriII labda hamia huku kwenye "hakatwi mtu"Coz kwa mtazamo wangu naona ndo wana unafuu. Wale weziiii nshaibiwa sana bundle zangu
 
Na wewe una hisa huko??

Binafsi siamini mtandao wowote ule kwa sasa...ingawa Tigo nilishaachana nao long time.

Mkuu sina hisa ila jamaa wana afadhali kidogo kuliko hao matapeli VODA na TiGo. Naona angalau wao wako smart.
 
Hapana mkuu sina hisa sema hata katika mataajhira angalau yupo mmoja ambaye ana kuwaga na nafuu nafuu. At least hao kwa eneo hili ninalokaa mimi mkuu
 
Huyo aneisifia tigo nahisi ameajiliwa so lazima aisifie ili wateja waongezeka na kulinda kibarua chake.

Nina kama wiki moja sasa TIGO wamenifanyia mambo ya ajabu sana, nilinunua "kijisalio" changu kupitia tigo pesa yangu usiku, nia na madhumuni nipige kenya... Salio lilikua 2500 lakini sikubahatika kuongea na muhusika maana simu ilikua haipatikani nikaamua kulala tu.

Saalale kesho yake asubuhi nataka kupiga simu inagoma kuja kucheki salio lilikua sh.2 kuwapigia Tigo wananiambia nilikopa kabang...yani ni wizi mtupu hiyo TIGO...majanga tigo yani hapa ni bora kuhamia AIRTELL

Sent using JamiiForums
 
jamani hawa voda hawarudi tu!!! ninajiunga net tokea jana naona hamna kitu na washanikaka ela ya wajanja night mara mbili(ikiwemo leo) na net hakuna!!!
 
Naomba kama kuna mtu yuko karibu na Vodacom anifikishie ujumbe kwamba mtandao wao sasa unazidi kukera wateja.

Nimeweka pesa muda mfupi uliopita na kununua bundle ya Tsh 4200 kwa ajili ya kupiga mitandao yote. Jambo la kusikitisha ni kwamba siwezi kupiga simu kwa sababu naambiwa sina salio wakati nikiangalia balance ya bundle ninazo sekunde 10,035, SMS 9255 na MB 3294.

Nikijaribu kupiga customer care simu yao haipatikani.

Ahsante sana kwa yeyote atakayeweza kunisaidia.

Kwa nini ung'ang'anie huko? Hamia huku!!
 
jamani hawa voda hawarudi tu!!! ninajiunga net tokea jana naona hamna kitu na washanikaka ela ya wajanja night mara mbili(ikiwemo leo) na net hakuna!!!

Jaribu kuwasiliana nao kwenye FB, ilinisaidia kwa kiasi fulani..
 
Hamieni airtel wandugu. Voda nilijiunga na nmb mobile nikiangalia salio nakatwa mara 2 yaani benki na wao pia, nikabadilisha kwenda airtel sijui hii kampuni ni ya wakoloni wanatunyonya hata kile kidogo kilichosali!
 
Back
Top Bottom