Recent content by handymartin

  1. handymartin

    JamiiForums Tanzania Hassan Marin wa TBC hafai kwenye TV

    Watanzania tuna tatizo kubwa sana la wivu na kupenda umbea.Maneno ya namna hiyo ni ya watu wasiojiamini.Kwan Profesa ndo nn!?Yule ni mtu mzima anaongea na watu wazima wenzake na anajiamini.Mlitaka awaogope kwa kuwa wamemzidi madaraka au elimu!?Acheni ushamba.Tafuteni vitu vya maana vya kuandika!
  2. handymartin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni CHRISTIAN RONALDO...atangazwa mshindi wa FIFA 2013 BALLON D'OR

    He does deserve it.Infact,he deserved it a while ago!
  3. handymartin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CRISTIANO RONALDO For Ballon D'Or 2013

    Wanaopinga Ronaldo kuchukua hiyo tuzo ni either, 1).Hawajui soka/hawafuatilii soka 2).Hawako objective na wanaleta ushabiki tu. Mimi pia ni mpenz sana wa L.Messi ila Ronaldo anastahili kabisa hii tuzo this time around.Period.
  4. handymartin

    JamiiForums Tanzania Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

    Ebu tutolee mada za kipumbavu na kichochezi...vita dhidi ya uislamu ina tija gani!?Kwa maisha ya sasa watu wameoana,wanaurafiki na ndugu bila kujali tofauti za dini.Mpuuzi mkubwa wewe!
  5. handymartin

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu apinga tabia ya kuchangisha wananchi michango asema,wanalipa kodi inatosha..

    Sasa ubishi wake ni nn!?...au wewe haukatwi kodi?Tunakatwa hela nyingi tu kwa lazima kama kodi kila mwezi.Kazi yake ni nn kama si hiyo?Na bado wapuuzi wengine wanatufuata majumbani kulazimisha michango ya kipuuzi wakati gharama za maisha zinapanda kila kukicha mpaka mishahara yetu haitoshi...
  6. handymartin

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

    Haina maana hata kidogo kuaminika nyumba ya jirani wakati nyumbani hauaminiki.WHAT'S THE POINT!?
  7. handymartin

    JamiiForums Tanzania Top Universities in Tanzania 2013 List of top universities in Tanzania, United Republic

    Nahisi huyu jamaa ali-disco UDOM sasa kaweka biff.VENDETTA za nn kama ulikuwa unazurura tu husomi!!?Mijitu mingine bwana! Tafuta chuo usome,acha ujinga usiokusaidia!
  8. handymartin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kama ni kweli Situmii tena Condom !

    Duh!! si ungenitafuta tu mkuu nikuazime chapaa ununue pakti nyingine!!?UKAAMUA KUFUA MZEE MZIMA!!?
  9. handymartin

    JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Kwa wanaopinga mwanamke wa kiafrika kuvaa shanga na kushabikia gold chainz viunoni WANA AKILI MGANDO!NI ULIMBUKENI ULIOPITILIZA!Especially kama zinavaliwa kistaharabu kama huyo dada!Nani anapinga kuwa hajapendeza!!?? Shanga ni pambo la kiafrika.Tatizo kuna wavaaji ambao tayari waliishaharibu...
  10. handymartin

    JamiiForums Tanzania Mwanaidi Maajar anaandaliwa kwa kazi na mpango maalum

    Hivi kwani hii ni siri!?!?
  11. handymartin

    JamiiForums Tanzania Pengine Zitto hana kosa....

    madela Wa-madilu don't tell me you are that naive to believe that Zitto is innocent and was unaware of the malicious plans.I DO NOT ACCEPT THAT!!They would not have done or proceeded with it if he(Zitto) did not accept.He knew!!He must have "blessed" the planz. The "waraka" aside, allegations...
  12. handymartin

    JamiiForums Tanzania Pengine Zitto hana kosa....

    I'm a big fan n follower of Zitto Kabwe.I respect and admire his intelligence n knowledge,the works that he has done to highlight his party in public.He has done a lot.But I'm afraid the same things that make him who he is will be his downfall when combined with arrogance and pride! And I...
  13. handymartin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kuingia kompyuta yoyote yenye password

    Hahahahaaa!...na mbaya zaidi aliyekuwa bafuni akatoka uchi akimkimbiza kichaa ambaye yeye alikuwa amevaa nguo! On a serious note though,I don't know how these guyz (my mates in JF) went so out of hand.It's obvious they were both making funny commentz.Take it easy guyz!
  14. handymartin

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Najua Yahaya anapoishi!
  15. handymartin

    JamiiForums Tanzania Ahsante! Ahsante! Ahsante! Mwaaah... Hahahaaa... Jamani hadi raha kwa kweli, mweh! Sio mchezo

    Hahahahaaaaaaaa!...I love this lady @lara1 for sure!She alwayz manages to come up with some crazy controversy that will rattle ur stomach. One of the best memberz of JF...I take off my hat for u Lara1!
Back
Top Bottom