Jifunze kuingia kompyuta yoyote yenye password

Malumbano ya hivi yananikumbusha ile hadithi ya kichaa aliyemuibia taulo mtu aliyekuwa bafuni uswahilini,aliyekuwa bafuni akaanza kumkimbiza kichaa mtaani.
Je !hapo nani ni kichaa?

Hahahahaaa!...na mbaya zaidi aliyekuwa bafuni akatoka uchi akimkimbiza kichaa ambaye yeye alikuwa amevaa nguo!

On a serious note though,I don't know how these guyz (my mates in JF) went so out of hand.It's obvious they were both making funny commentz.Take it easy guyz!
 
Ntasimamia hapo.

.
Una haki ya ku jikweza mana, haitakiwi hata cku moja, mwanamke kujishusha Eeeeh we computer unaijua kwely yan
.
1455188_441081459347732_206340484_a.jpg

.
Nikisomaga kitabu hiki kinanifurahishaga sana

heh kakitabu sikukaelewa vizuri kaka, itabid nikutafute!
 
Nimeanza kutumia kompyuta yangu binafsi mwaka 1982, siku hizo kama hujui programming ya aina fulani huwezi kutumia kompyuta. Upo hapo ulipo?

Na kabla ya hapo nimetumia kompyuta za kazini zilizokuwa na "unique programming language iitwayo SL1", ni lugha ya kwanza kutumika katika mitambo ya "digital", lugha hiyo ilitumika katika mtambo wa kwanza kamili wa mawasiliano ya "digital" ulioitwa Northern Telecom SL1 PABX.

Nimesoma chuo kiitwacho Bell Northern Research kilichopo Bellevue Canada. Nenda ka google ujuwe hiki ni chuo cha nini ujipatie faida, na hiyo ni early 80's. Nnajivunia sana kuwa Mtanzania wa kwanza aliyeweza kufika chuo hicho (highly prestigious) kwenye nyanja ya mawasiliano na ndicho kilichovumbuwa mtambo wa kwanza kamili wa mawasiliano ya "digital". Upo hapo ulipo?

Usione vinaelea vimeundwa. Usione tunaingia haya majukwaa ya teknolojia tukaandika mambo ya utani ukadhani kuwa sisi mamburula kama wewe. Ukifatilia japo kwa uchache maoni yangu kwenye jukwaa hili utapata japo sura ya mbali, mimi ni wa aina gani. Usione kikiulizwa kitu humu, sisi twakaa kimya, tunawaachia vijana wajifarague, mara moja moja tunapoona mtu kauliza kitu ambacho vijana kinawapiga chenga ndio huingi na kutoa ushauri wetu kwa mbali. Huwa hatujiambi kwa ujuzi wet mpaka anapotokea mjinga mjinga mmoja hivi asiyetujuwa ndio humfungulia kiduchu kumweka kwenye mstari, mfano mzuri ni wewe.

Hiyo inaitwa.wape wape eeee vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yao. Small fish akicheza uwanja wa bigfish lazima mwisho wa siku ataliwa.
 
Hiyo inaitwa.wape wape eeee vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yao. Small fish akicheza uwanja wa bigfish lazima mwisho wa siku ataliwa.

Unajuwa kuna watu humu wanaona watu wote ni wajinga kwa kuwa wao jana na juzi wamejua kutumia vi laptop kuingia mitandaoni, basi wanajiona wao ndio wao na hakuna mwingine zaidi yao.

Kitu wasichoelewa ni kuwa kuna mitandao mikubwa duniani inayotoa zawadi kwa mtu ataeweza kuihack (kwa wema) ili wapate kujuwa "leakage" za kwenye "security system" zao za mtandao zipo wapi, wapate kuziimarisha.

Hata ukitembea humu mitandaoni uka google kuhusu "hacking" utakuta wale "professional hackers" wengi wanatumia utaalaam wao kufanya na kuboresha usalama wa mitandao kila kukicha.

Hacking ni art ya kurahisisha kazi kwa wenye nia njema, siyo kila hacker ni criminal. Mfano hii mada, shiny c ameileta kwa nia njema kabisa na akaweka warning hii:

7.WARNING, THIS TUTORIAL IS FOR EDUCATION PURPOSE ONLY AND NOT FOR ANY OTHER USE

Ni hacking pia lakini ni ya msaada kwa waliopoteza password, au walioingiliwa na kirusi cha kufuta password, au walionunua viji kompyuta vya mtumba ambavyo hawana pw zake.

Ninapotoa challenge ya kupatiwa ujanja wa kuihack JF ili niwalambe ban akina Invisible ni kwa nia njema kabisa na hata wao wamenisoma.

Lakini kuna vitoto vidogo humu haviwezi kuelewa hayo na havina muono zaidi ya mwisho wa vidole vyao.

Ahsante shiny c kwa kazi njema.

cc middlebopper
 
Last edited by a moderator:

ur welcome
 
Jorzy
.
Sitaki kumkejeli mtu au
kushindana na mtu utakuta
yeye anauelewa mkubwa
zaidi yangu. Ila Jamiiforums watu hatujadili hoja au
hatukosoi watu kisa tunajua
ila tunakosoa tuonekane sisi
ndo wajuaji! Mtu hajui hata
maana IT lakini ataenda
google atacopy alaf ata PEST huyo huyo mtu anaangalia
videos YOUTUBE. Alaf
anatujengea hapa hoja
ambayo haitamsaidia mtu! I
kwenye post yangu hapo
nyuma nlikuwa najaribu kumwelekeza kuna mtu
kwasababu yeye alitaka
kutengeneza Game kama fifa!
Nikaweka points zangu on the
table kuwa haiwezekani from
my ideas and mimi nazielewa coz nasomea same thing
SOFTWARE ENG AND
PROGRAMING! kuna mtu
kaandika ooh hutaajiriwa
oooh huelewi ooooh hujielewi!
Mm sigombani wala sibashani na ww ila argue from what
you know alaf wengi ndo
walee wanatoka jukwaa la
siasa yaani kila kitu unataka
tukuone unajua kisa GOOGLE na
WIKIPIDIA! In 2011 nlikuwa mwenge Dar nikamkuta fundi
wa computer elimu yake form
2 hajui english lakini
anatengeneza Computer! Alaf
kuna mwanafunzi leo
kamaliza chuo aanajiita Mwana IT hajui chochote ila
ana vyeti! In my point of view
kwnye this industry currently
tunaangalia wajuaji siyo
wasomi! Our education system
na nchi kibao bado hawajaelewa. Go to US yaani
your trained mpaka unakuwa
pro kwasababu that is what
you know and your good at!
Leo hii kama nitafungua
kampuni nitamwajiri yule fundi wa Mwenge hata kama
hana vyeti ila siyo huyu
msomi.....
 
Last edited by a moderator:
Kuna kaujanja haka kadogo, msikatumie vibaya:

How to unlock locked PC (Password protected Computer)

Cannot find your password reset disk?
This little hacking tip will help you to regain access to your password protected computer.

  1. Turn off the PC.
  2. Turn on the PC
  3. Press [F8] while the computer is booting (F8 must be pressed within the first 10 sec. of booting process) and then select [Safe Mode]
  4. Click on the [Administrator] account.
  5. Select [Start] and click [Run]
  6. Type " control userpasswords2 " and press [Enter]
  7. Uncheck [Users must enter a username and password] and restart the computer.
  8. Your PC will be password free.

Use it.

This hacking trick is not intended to be executed on password locked computer that you do not have permission from its owner.
 
Hivi unaweza kutofautisha vocational education na academic education?
 
yaani hapo tu ndio maana sionagi umhimu wa pw kwenye pc yangu..
 
Or you could run live disk with linux and access everything

Nimelive USB stick kwa Ubuntu, hehehehe, mdebwedo! Sasa kila sehemu ninayo USB, itawahusu!

Halafu, kama PC inatumia Windows7/8; nikilive USB/CD kw aUbuntu, nikirestart, ninatakiwa tena kuinstal antivirus program?
 
Leo nmewaletea software inayoweza kubypass password ya windows yoyote ndani ya sekunde chache tu, hii software inaitwa kon boot yenyewe ni kwamba ina itaruhusu tubypass password protected system, ila ukirestart mashine mambo hujirudi vile vile cha kufanya:

1.download file hapa www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=122881&d=1385154222

2.extract file utakuta image file ya kon-bootCD.iso

2.burn hio imagefile, kwa kutumia software inayoweza kuburn image kwenye cd ili iwe bootable

3. ukishaburn hio disc kaiingize kwenye computer yenye password then restart ili isome disc vizuri

4.utaona hii notification ili kujua kama cd imesomeka bila matatizo
View attachment 122882

5.usiminye kitu ,windows itaload yenyewe then kwenye sehem ya password andika chochote then minya enter

6.enjoy yourself

7.WARNING, THIS TUTORIAL IS FOR EDUCATION PURPOSE ONLY AND NOT FOR ANY OTHER USE

mkuun mimi nataka software ya ku hack password za wirelesss network, msaa tafadhali
 
thanks
 
Nimelive USB stick kwa Ubuntu, hehehehe, mdebwedo! Sasa kila sehemu ninayo USB, itawahusu!

Halafu, kama PC inatumia Windows7/8; nikilive USB/CD kw aUbuntu, nikirestart, ninatakiwa tena kuinstal antivirus program?
Sina uhakika kama nimekuelewa vizuri, but ukirun live disk hamna haja ya kuinstall chochote maana as soon as ukichomoa flash its over, plus hio ni Linux bana Antivirus kitu gani hicho
 
Back
Top Bottom