notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 453
Acha utoto wewe km hujaelewa si ungesema tuu hujaelewa.Nani kasema ni siri?Ni kwamba mahusiano na CDM hayawezi tena kuwa km siku zile Zitto akiwa na baraka za kila mtu,akiwa anaminiwa na kila mtu.
Sasa km ndivyo na adhabu imempasa, kwa faida yake tuu ni kwamba asiwasukume CDM waseme yote mabaya na kuamua mdhalilisha mjini.Asepe basi kwa makosa yanayoonekana na yaliyotosha hata kwake kujiona mkosefu.Basi,sijasema siri ila heshima na kutofurahia downfall ya mtu mwingine.Hiyo ndio nji aya CDM km nji aya Barcelona.
Timu kubwa huwafukuza wachezaji ambao kuna kipindi walikuwa wakifunga magoli sana kwa wapinzani bila kutaa jenga scene.HUko ndipo kustaarabika.Ila Zitto km anapenda sana.akina Lema wapo wa kumaliza..
Chaga bwoy!!!
You don't deserve to contribute anything on this........
You will spoil it and divert the meaning. You are too inferior compared to it. Bonsafooooooooooo