Pengine Zitto hana kosa....

Pengine Zitto hana kosa....

Kampeni kubwa sasa ng'oa na ondoa kbc zzk and ccm,, habari ya mjini

Chukulieni rahisirahisi kama kula mtori na mbege,muta jamba cheche muta kunya moto,kudadadeki!!! hamuwezi kuchukua Dola kutegemea kanda moja tu.
 
WANANCHII wote waliokuwa wanafatitilia kipindi ndani ya startv na kupiga simu wameonyesha mashaka makubwa juu ya maamuzi ya kamati kuu kwamba yalipaswa vilevile yatumie busara na hekima.

MH ZITTO ni jembe hivyo inapaswa wawe makini na decision yoyote wanayoiendea. Wananchi wote waliopiga simu wanampa sapoti kubwa Mh. Zitto
Mpini wake nani?
 
Mkuu umeanza uchambuzi wako vizuri na hata ukaonekana kufanikiwa kujenga hoja na kuoneka kuwa balanced lakini mwisho conclusion yako kama vile imekuumbua, imeweka wazi hoja yako kuwa yale mengine yote ilikuwa tu kuipaka qunini sukari. your conclusion does not logically follow from your analysis unless you ommitted something ..

MSIMAMO wa balance katika maelezo yangu ya mwanzo kabisa ni kweli kwamba nilikuwa nao, japokuwa ningependa katika kukujibu nitumie neno objectivity. Haya maneno mawili kadri ninavyoelewa mimi yanao uhusiano. Objectivity ndiyo huzaa balance. Kwa hiyo nadhani unajaribu kuhoji kama nilikuwa objective katika hoja.

Kwanza nikushukuru Mkuu Sungurampole kwa mchango wako kwenye uzi huu. Unatoa hisia kwamba majumuisho ya hoja yangu ya mwanzo wa uzi yanapishana na maudhui ya hoja inayojengwa tangu mwanzo. Lakini "conclusion" haijaondoka kwenye mada kama unavyoona wewe mkuu wangu.

Objectivity na balance ni nini? Objectivity na balance kadri ninavyoelewa mimi ni dhana ya kutoa haki ya kusikilizwa kwa mitizamo yote inayoweza kupishana katika hoja iliyopo. Hili nimelifanya katika mada. Mada ina masuala makuu mawili: Nimejadili suala la MANAGEMENT ya chama, na suala la UMAMLUKI wa Zitto Kabwe, nikasema huu ndo msingi wa mgogoro uliopo CHADEMA. Katika kujadili MANAGEMENT ya chama, nimejadili kwa kirefu kidogo suala ya matumizi ya fedha kwa sababu lilipewa uzito na kambi ya zito, lakini pia kutokana na fedha kuwa kitu nyeti sana katika management ya kitu chochote chenye wadau wengi. Najadili suala la Umamluki mwishoni kumalizia hoja.

Nilieleza, japo si kwa maneno haya ninayoyatumia hapa, kwamba Mgogoro uliopo CHADEMA una pande mbili. Kuna Upande wa Freeman Mbowe, na Upande wa Zitto Kabwe, na kwamba inaelekea wanachama wamejigawa katika makundi mawili ya ufuasi.

Katika kujadili management ya fedha nimesema naamini Mbowe na Zitto wamepishana kutokana na taaluma kugongana; kwamba ninavyouona mgogoro wenyenye ni kwamba mmoja wa hawa anataka matumizi ya fedha kutekeleza mipango cha CHAMA yafanywe kwa mbinu za kirasimu, wakati mwingine anatekeleza mipango ya chama kwa njia za mkato, ambazo nimeziita mtindo wa ma-entrepreneur kuharakakisha results. Katika Management unaweza kuchagua mbinu yoyote katika hizi. Opinion yangu ikawa kwamba hapa ni mpishano wa management style ambao umeleta mzozo, lakini pia kwamba binafsi sikuona tatizo katika management ya ki-entrepreneur kama malengo ya CHAMA yanatimia.

Nilimaliza kujadili mzozo wa management ya fedha kwa kusihi Kambi ya Mbowe ku-address issues ambazo kambi ya Zitto ina-raise. Hilo ni kutoa nafasi kwa pande zote kuthibitisha nia njema ama wizi. Huko ni kuwa objective.

Katika kujadili Umamluki wa Zitto nimeweka scenario ambayo ingeweza kuthibitisha Zitto ni Mamluki. Lakini nilitoa nafasi kwa hawa wanaodai kuwa Zitto ni mamluki kutupatia ushahidi wa kimazingira kuthibitisha kuwa Zitto ni Mamluki; hilo lilikuwa na maana kwamba wakishindwa kuonesha mambo yanayoelekeza kuwa Zitto ni Mamluki, basi tutajua kuwa Zitto si Mamluki. Maneno yangu haya yanatoa haki kwa pande zote mbili. Huko ni kuwa Objective.

Nilijadili masuala mawili: MANAGEMENT ya chama na UMAMLUKI wa Zitto Kabwe kutokana na haya mawili kuwa msingi wa mgogoro katika CHAMA kadri nilivyoelewa mimi. Hapakuwapo kuondoka kwenye hoja kutoka mwanzo hadi mwisho. Hoja yangu ililenga kutafuta suluhu ya mgogoro katika Chama pasipo upendeleo. Kuna pahala nilipendekeza Zitto na Mbowe wote wawili waondolewe kwenya nafasi zao ili kusudi tuweke watu wapya pasiwepo yeyote katika wanaogombana kuonekana kashinda, kwani kwa kubakiza mmoja hiyo ndiyo taswira ambayo ingejengeka. Ingawa sikufafanua malengo ya msimamo huo vizuri, malengo yalikuwa kukubali kuwa hawa wawili, kila mmoja kwa namna yake, wamekifanyia chama mema, na tunaweza kuendelea kutumia busara zao wakiwa nje ya uongozi.

Kuwafuta uongozi wote wawili kungeweza kufanywa kwa kuharakisha uchaguzi wenye nia ya makusudi kabisa kuondoa majina yote mawili katika orodha ya wagombea. Hii ingekuwa kama kuondoa jogoo mbili zinazodonyoana na kuparurana kucha kwene banda ziende kupigana nje ya banda, na sisi huku tuweke jogoo ingine kwenye banda uzalishaji uendelee.

Nadhani sasa utakubaliana nami kwamba nilikuwa objective tangu mwanzo, ingawa uhai wa CHAMA ulipewa nafasi fulani ya kipekee katika mimi kupendekeza kwamba jogoo zinazoparurana ziende nje. Hili la mwisho halikuzingatia ushahidi wa madai yenye kuleta mgogoro. Labda hapa niseme ushahidi katika madai yote mawili ukijitosheleza ni kweli kwamba jogoo moja ikibaki katika banda hapata kuwa na shida. Nilikuwa balanced Mkuu.

Hiyo unaipokeaje?
 
Huyu Chamviga akili hana kabisa. Kwa hiyo muislaam akikosea adionywe kwa sababu ya huo uislam? Hii dhambi ya ubaguzi wa dini utwafuata hadi huko kaburini. Ni wapi katika katiba zetu za vyama na Jamhuripameandikwa kuwa ni lazima ktk vyama vya siasa pawe na uwiano wa dini? Uwiano huo ukiwepo lazima twenda mbali zaidi, kuwe na uwiano pia wa madhehebu nk. Akili ndogo hizi zisizo na haya wala aibu hazistahili kupewa nafasi humu. Hakuna kazi ya kujenga misikiti wala makanisa ktk vyama vya siasa, dini ya ntu una uhusiano gani na shughuli za siasa?
 
kwanini unadownplay madhara ya sifa..na kuruhusu uncertainity kwa kiasi hichi.Haupo hata sure kw akile unachoandika.

HIvi unajua sifa hupersonalize national issues,hata maisha ya watu wengine..?

come again please. sijakupata vizuri hapo.... ingawa pia ningeomba uiangalie vizuri post namba 64 ambayo inafafanua post number 1 kwa kina kidogo, kisha uje kunipa fikra zako ambazo kwakweli nazihitaji. nimedownplay sifa za kitu gani hasa. Watu? au CHAMA!
 
Kwa mtazamo huu????
Tuna safari ndefu sana ya kuleta mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi nchini Tanzania.
Chepeo linaitwa kijiko kikubwa
 
Kwa mtazamo huu????
Tuna safari ndefu sana ya kuleta mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi nchini Tanzania.
Chepeo linaitwa kijiko kikubwa

Umeandika kwa ufupi mno mkuu. Tunapeana mafunzo hapa. Ningependa kujifunza kutoka kwako, na pale ninapokuwa nimesema kitu chema ujifunze kutoka kwangu. Mnapoandika kitwita-TWITA hivi inakuwa ngumu kuelewa ni kipi hasa mtu unachosimamia katika hoja.

HAYA...Chepeo ndo lipi hapo sasa katika hoja, na kijiko ndo kipi? Hebu fafanua kidogo nikuelewe....
 
I'm a big fan n follower of Zitto Kabwe.I respect and admire his intelligence n knowledge,the works that he has done to highlight his party in public.He has done a lot.But I'm afraid the same things that make him who he is will be his downfall when combined with arrogance and pride!

And I refuse to be a BLIND FOLLOWER of Zitto Kabwe.When you are in any institution,regardless ur position in it(hata kama ni mwenyekiti),that institution is bigger n more important than you.It serves a greater purpose.You are just a valuable asset towards its goals.And u stop to be one(valuable asset to the institution) the moment u start undermining its common n legal practices and objectives.

Zitto is entaitled to differ with other members(regadless of position) over any issues or ideology.That's democracy.But he should have put it open n clear.What he n his company in CHADEMA were doing secretly IS unacceptable and contrary to Party's constutution.It is TREASON!...BLACK MARKET WITHIN THE PARTY.Any good intentions are put publicly and they will be supported by the people.SO WHY THE SECRECY and INSURBODINATION?In this,I dont follow Zitto.I'm not a fan!

He should make use of Democratic means of solving problems.That's our (CHADEMA'S) foundation.Even when he thinks he's faced with undemocratic forces or leaders.Otherwise what's the distinction between him and the the people or things he opposes!?

Julius Malema of ANC Party South Africa thought was untouchable in his Party,he learned otherwise...THE HARD WAY!

ZITTO IS WRONG.PERIOD!!
 
Awepo asiwepo 2015 tutakuwa tumeimarika zaidi kama chama na taasisi. Chama kinatakiwa kiwe centered kwa wanachama na si mtu ili kupunguza kiburi na ufalme wanaojijengea baadhi ya watu hasa wanaotamba bila wao chama hakipo. Maneno haya wapowanayopendezwa nayo nawapo yanaowakera.

Tutaimarisha chama kwakila mwanachama mchapakazi aone fahari kuwa mwana chadema. Mwanachama wa kweli wa CDM hayuko tayari kuona kiongozi yeyote anahatarisha uhai wa chama kwa tamaa zake binafsi au tamaa ya fedha na madaraka. Heshima utu, subira na hekima ya uongozi ndio ngao ya mafanikio.

ZZK unaweza kuwa mwanachama mwaminifu na mchapakazi na kurudisha imani kwa wanachama wako kama kweli hukunuliwa kwa vipande vya fedha. Pamoja na kwamba matendo na maneno yako yanaoonyesha umeuza team long time , ila inawezekana ni kiburi chako na kujiamini , dharau na kutokuwa na hali ya kutotii wala kusikiliza mtu yeyote. Ila kamanda umebadilika sana, kweli masikini hana tabia ukitaka kujua tabia ya mtu mpe fedha. Kumbuka kampeni ya kwanza kigoma kaskazini unaowatukana leo ulikuwa ukiwasalimia kwa heshima ukiwaona werevu na wenye msaada mkubwa sikutugemea katika maisha yangu ungewatukana leo hatakama mnamitazamo tofauti.

Kamanda kati ya vitu unavyokosa ni hekima, ninakuhakikishia ukiendelea nahii tabia hata huko kwa magamba watakuchoka tu Mbatia hataweza kaa na wewe na Kafulila ambaye naye alikaribishwa tu akamtishia mwenyeji nyau.

Vijana wengi wanashindwa kufika kileleni kwasababu ya viburi. JK aliambiwa ampishe Mkapa, kwa shingo upande alitii akaja kuwa Raisi baada ya kumtumikia Mkapa kwa miaka kumi. Angemuonyesha Big ben kiburi leo ingekuwa historia.

Nakuona unajitahidi sana kufananisha wewe na akina luther, mahamer, zuma nk. Sijui labda miujiza itokee, huwezi kufanikiwa sehemu yeyote kama kila unayefanyanaye kazi unaamini hana akili isipokuwa wewe.

Nakushauri heshima, hekima, busara, na timing. Usijitahidi kupiga ukuta ngumi hutaweza. Chadema ipo imara sana bila Zzk na yeyote anayejiona bora kuliko wengine. Read btn lines I know how u think.

Bila upendeleo na emotional ZZK anastahili kuachiwa kadi kwanini? Na kama hastahili kwanini?
 
Nakumbuka wakati wa sakata la Kafulila kutaka kumpindua Mbatia walisema kuwa kama angefanikiwa angemchukua ZItto ili waimarisha NCCR iili 2015 ZZK agombee uraisi kwa tiketi ya NCCR.
 
Last time nilipomsikiliza Zitto alisema yeye hahusiki na ule waraka.
Watu wawili, Kitila na Mwigamba wamekubali kuhusika na Waraka huu moja kwa moja.

CC ya Chadema kakatika maelezo yake haijaweza kuthibitisha uhusika wa Zitto katika Waraka huu zaidi ya Speculations za hapa na pale.
Katika maelezo yao CC ya CHADEMA wana waweka wote watatu katika kuhusika na waraka kana kwamba hawa watatu ni kitu kimoja katika kufikiri na kuamua.
Wanaueleza waraka kwa nguvu zaidi na kushindwa kutoa maelezo ya uhusika wa mtu mmoja mmoja katika kuuandika, kuuhariri au hata kuushabikia tu waraka huu.
Tunaambiwa wote watatu wanahusika lakini hakuna maelezo ya kina ya kila mmoja anahusika vipi.
Hata jinsi waraka huo ulivyo naswa hilo pia hatuelezwi, mtu alipigwa LOBA kwanza ndipo ukanaswa aua aina fulani ya mzengwe ulipigwa?
Nimejaribu kumsikiliza Mwanasheria mkuu wa CHADEMA kwa zaidi ya mara mbili bado nashindwa kuona namna Zitto anavyohusika na waraka huu zaidi ya kusema amekiri au kukubali kuhusika.

Pili, Mwanasheria mkuu tayari amekwisha sema waraka huu tunaosoma ni Feki, wakati mwanzo alidai umesambazwa ili kila mtu asome. Sasa sijui waraka ndiyo feki au maelezo yake ndiyo feki????????

Watu wanajaribu kucheza na akili zetu, mie binafsi sikubali akili yangu ichezewe.

I'm a big fan n follower of Zitto Kabwe.I respect and admire his intelligence n knowledge,the works that he has done to highlight his party in public.He has done a lot.But I'm afraid the same things that make him who he is will be his downfall when combined with arrogance and pride!

And I refuse to be a BLIND FOLLOWER of Zitto Kabwe.When you are in any institution,regardless ur position in it(hata kama ni mwenyekiti),that institution is bigger n more important than you.It serves a greater purpose.You are just a valuable asset towards its goals.And u stop to be one(valuable asset to the institution) the moment u start undermining its common n legal practices and objectives.

Zitto is entaitled to differ with other members(regadless of position) over any issues or ideology.That's democracy.But he should have put it open n clear.What he n his company in CHADEMA were doing secretly IS unacceptable and contrary to Party's constutution.It is TREASON!...BLACK MARKET WITHIN THE PARTY.Any good intentions are put publicly and they will be supported by the people.SO WHY THE SECRECY and INSURBODINATION?In this,I dont follow Zitto.I'm not a fan!

He should make use of Democratic means of solving problems.That's our (CHADEMA'S) foundation.Even when he thinks he's faced with undemocratic forces or leaders.Otherwise what's the distinction between him and the the people or things he opposes!?

Julius Malema of ANC Party South Africa thought was untouchable in his Party,he learned otherwise...THE HARD WAY!

ZITTO IS WRONG.PERIOD!!
 
madela Wa-madilu don't tell me you are that naive to believe that Zitto is innocent and was unaware of the malicious plans.I DO NOT ACCEPT THAT!!They would not have done or proceeded with it if he(Zitto) did not accept.He knew!!He must have "blessed" the planz.

The "waraka" aside, allegations towards Zitto have been been immense lately.As the saying goes; "lisemwalo......".
 
Last edited by a moderator:
come again please. sijakupata vizuri hapo.... ingawa pia ningeomba uiangalie vizuri post namba 64 ambayo inafafanua post number 1 kwa kina kidogo, kisha uje kunipa fikra zako ambazo kwakweli nazihitaji. nimedownplay sifa za kitu gani hasa. Watu? au CHAMA!

Its unlucky kuwa unasahau haraka sana blocks muhimu za thread yako.

Henbu soma hili:

"
>>>>>>>>
Tatizo ni kwamba mambo yanayofanywa na fedha za chama hayajapeleka sifa kwa kila mwanasiasa ambaye angependa fedha za CHAMA zitumike kumpa sifa na yeye pia. Hapa kuna tatizo la sifa!
>>>>>>>>>>>

"

hapa nilikuwa naongelea sifa km sifa ..pengezi binafsi za kulazimisha..
 
hiyo block ilikuwa inakazia hoja binafsi kuwa naamni fedha hazijaibwa CHADEMA, wala kutumika vibaya. na kama hilo ni sahihi, basi malalamiko kuhusu fedha ni lugha ya kutaftia tu sifa. Hiyo ndo ilikuwa maana ya block hiyo. Wewe Nico unao ushahidi kuwa fedha zimeibwa CHADEMA? au kwamba zimetumika vibaya? weka huo ushahidi hapa tuuchambue....
 
sidhani hata km mimi naongelea hela..ila naongelea hiyo division ya SIFA inayogombaniwa ..kwani hiyo ndio inayosababisha uovu wote na desperation ya cha kasa (cha mbugani)Zitto.
 
sidhani hata km mimi naongelea hela..ila naongelea hiyo division ya SIFA inayogombaniwa ..kwani hiyo ndio inayosababisha uovu wote na desperation ya cha kasa (cha mbugani)Zitto.

sasa we nambie Nico. Mtu pesa anayo, nyumba ya kuishi anayo, pale chini eneo la mwanzo wa hieralchy of needs hapana shida yoyote, recognition anaipata ya kutosha ndani ya chama hata nje ya chama, kula anakula, malengo ya jumla ya chama yanatekelezwa. mimi nime-advance hoja kwamba hakuna wizi wala tatizo la kiutendaji katika chama kama vielelezo vilivyopo mbele yetu ndo hivyo hakuna vingine. sasa hizi kelele za kuwapo matatizo katika chama ni za nini kama si kutafuta sifa? we unadhani ni kipi hasa kinaleta shida hapo mbali na kutafuta sifa
 
Back
Top Bottom