k-star
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 541
- 392
- Thread starter
- #21
Umefanya hii experiment na ukaona matokeo yake au umesimuliwa? Basi kwa taarifa yako mimi nimefanya hii experiement kwa mara ya kwanza mwaka 2006 nikiwa nafanya research ya UKIMWI mhimbili na matokeo ya hiyo research, bosi wangu wa research aliyapublish hapa: http://ir.muhas.ac.tz:8080/jspui/bitstream/123456789/113/1/1-s2.0-S0277953612005497-main.pdf.
Soma hii article kwa umakini ndiyo utafahamu ukweli wa hii habari. Fanyeni tafiti msipende kufanyia kazi rumors.
Kama hii article haitafunguka nitumie email yako nitakutumia kwenye private email.
ahsante mkuu