Mm salbutamol ni kwa ajili ya zile pumu za ucku km baridi feni vumbi na zinazonibana kwa kupata allergy tu mara moja ila zile ambazo zinakuja na kikohozi cha kukohoa na flue bac kwa cku tatu mfululizo nipate hydrocortisone sindano mbili mbili na nubilizer hapo tena nitafka mwez pumu hazjanibana...
Huez angalia kwa free hizo channel never na haziwez kuingia km decorder haijalipiwa na zikiingia hazionyesh lazma unnue decorder hata km haitakua kwenye tv unaangalia lkn tu ile card iwe unailipia upate zile namba za card
Download app ya dstv inaitwa dstv now mke sure una namba za decorder ya dstv wakat una register Kwaio unaeka hizo zitalink na decorder zitaingia channel za dstv za kifurush ambacho umelipia kwenye decorder sometimes zinazingua haziingii but ukiwapgia dstv wanakusaidia kuziingza kinyume na hiyo...
Hakuna dawa mnunulie salbutamol inhaler apulize ama hydrocortisone vidonge ila zikibana sana zote hazina majibu kama zimekuja na kifua cha kukohoa mpeleke hospital yenye matibabu mazur atannua mask ile ya oxygen n sindano atachomwa faster then atawekwa salbutamol na hydrocortisone kwenye mashine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.