Nashindwa kuangalia channel za DStv kwenye simu

Nashindwa kuangalia channel za DStv kwenye simu

Digging deeper

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
787
Reaction score
512
Msaada..

Je kuna app yoyote au browser inayoweza kusupport simu kuweza kuangalia channel za tv kupitia simu?
 
nashida na kwenye simu mkuu
Sasa ndo useme ueleweke..huwezi kuangilia channels za dstv for free kirahisi rahisi tu hivyo kama unavyotaka..

Ungekuwa na decoder home mbona kuunga kwenye simu rahisi tu.
 
Msaada..

Je kuna app yoyote au browser inayoweza kusupport simu kuweza kuangalia channel za tv kupitia simu?

Download app ya dstv inaitwa dstv now mke sure una namba za decorder ya dstv wakat una register Kwaio unaeka hizo zitalink na decorder zitaingia channel za dstv za kifurush ambacho umelipia kwenye decorder sometimes zinazingua haziingii but ukiwapgia dstv wanakusaidia kuziingza kinyume na hiyo app unaweza download Showmax utalipia Na card ya visa au MasterCard hii hazioneshi channel live but vipindi vingi ambavyo vpo kwenye dstv zinakua huku Showmax but ukitaka Iive fanya hiyo option ya kwnza
IMG_1516.png
 
nashida na kwenye simu mkuu

Huez angalia kwa free hizo channel never na haziwez kuingia km decorder haijalipiwa na zikiingia hazionyesh lazma unnue decorder hata km haitakua kwenye tv unaangalia lkn tu ile card iwe unailipia upate zile namba za card
 
Sasa ndo useme ueleweke..huwezi kuangilia channels za dstv for free kirahisi rahisi tu hivyo kama unavyotaka..

Ungekuwa na decoder home mbona kuunga kwenye simu rahisi tu.
kuna app ninayo ina channel zote za dstv shida ikuwapi
 
Back
Top Bottom