Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Ronaldo anakuongezea options za kupata mabao mengi zaidi.The biggest problem with me, ni kwamba ronaldo hakuwa kwenye mipango yetu, i seriously hate mambo ya kukupuka.
Ronalso ni human being, inamaana akipata matatizo inakuwaje sasa?
Hakuna timu duniani ingemkataa ronaldo.
Kwa msimu ronaldo ana uhakika wa kukupa goli 25+ .


