Kwa bajeti hii nichukue simu gani?

Kwa bajeti hii nichukue simu gani?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,315
Reaction score
8,750
Wadau kwema, nina 900K. Kwa hio hela nataka simu kati ya iPhone X au note 10. Ipi itakuwa Chagford zuri ukizingatia Performance, Camera, Chaji na Matumizi mengine kwa ujumla.

Kama kuna chaguo lingine bora pia kwa Budget hio tushauriane.

Asante!
 
Chukua kiswaswadu, then hiyo pesa nyingine mkopeshe Bi Mikopo akafanyie hafla & sherehe pale Ikulu B Magogoni.
 
Wadau kwema, nina 900K. Kwa hio hela nataka simu kati ya iPhone X au note 10. Ipi itakuwa Chagford zuri ukizingatia Performance, Camera, Chaji na Matumizi mengine kwa ujumla.

Kama kuna chaguo lingine bora pia kwa Budget hio tushauriane.

Asante!

Kwa x kavu chkua xr
 
Kwa kiasi hicho cha pesa usitumie iPhone maana zote ni referb, utaliwa pesa Zako tuu..
Pili simu za gharama Sana kama ww ni mtu wa mabihashara ya kutangaza vtu, lkn kama ww ni wa kawaida chukua ya kawaida tuu.. NI USHAURI
 
Ya kawaida kama ipi kaka
 
Chukua mi 12, hizo ulizotaja utapata mtumba maana mpya hazizalishwi kwa sasa
 
Wadau kwema, nina 900K. Kwa hio hela nataka simu kati ya iPhone X au note 10. Ipi itakuwa Chagford zuri ukizingatia Performance, Camera, Chaji na Matumizi mengine kwa ujumla.

Kama kuna chaguo lingine bora pia kwa Budget hio tushauriane.

Asante!
Samsung A71.
 
Motorolla S26
 
chukua google pixel yenye betri nzuri ni very smart hizi simu tafutab 4a
 
Back
Top Bottom