Recent content by Hamzah J

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga Morogoro/Kimara-Mbeya

    Shamba ukilipa huduma nzuri ni zaidi ya gunia 15 za plastiki 7
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga Morogoro/Kimara-Mbeya

    Habari ya mapambano kijana mwenzangu! Kulingana na hoja yako, ninapenda kuchangia baadhi ya mambo niyajuayo juu ya kilimo hiki cha mpunga. Mimi ni mkulima wa zao hili ktk mkoa wa Songwe wilaya ya Momba bonde la Kamsamba. SIFA ZA BONDE HILI ~Ardhi yenye rutuba ~Uhakika wa maji ~Mavuno mengi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wana jamii, kilimo cha mpunga

    Majukumu yako poa, bila shaka na kwako pia. Kulingana na hoja yako, ninapenda kuchangia baadhi ya mambo niyajuayo juu ya kilimo hiki cha mpunga. Mimi ni mkulima wa zao hili ktk mkoa wa Songwe wilaya ya Momba bonde la Kamsamba. SIFA ZA BONDE HILI ~Ardhi yenye rutuba ~Uhakika wa maji ~Mavuno mengi...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kuongea na wanahabari

    Kweli Giza totoro ndio ishara ya mapambazuko.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakiendi sawa: Mkuu anapambana na umma?

    Kiongozi naungana na mtazamo wako. Hata mimi nahisi huo ndio uhalisia.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakiendi sawa: Mkuu anapambana na umma?

    Umenena mkuu
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni dedicatation kwa wanawake wote

    Hata hao Dada zako wakae chonjo pia, kwakua malipo ni hapa hapa duniani.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Serikali za CCM na kuwadharau walimu

    ELIMU BORA NI MADAWATI MASLAHI YA WALIMU ZIADA. This is Tanzania
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ajira za serikalini kwa uhakika zitafunguliwa lini?

    Hata wenye dhamana ya kutoa hizo ajira hawatambui ni lini hasa ajira ztatoka. Hata wao wanatamani sana kujua ili wawajuze watanzania, TATIZO NI ONE MAN SHOW
  10. H

    JamiiForums Tanzania Matumaini ya ajira mpya za ualimu 2016

    Hata watoao ahadi hewa ni MAJIPU, tatizo ni nani wa kuwatumbua ikiwa watumbuaji ndio watoaji wa ahadi hizo.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Matumaini ya ajira mpya za ualimu 2016

    Mwaka wa shetani
  12. H

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa vyungu vya maua

    SOKO LAKE LIKOJE NA WADAU WAKUBWA WA HIVI VYUNGU NI WATU GANI. Ahsante kwa somo zuri
  13. H

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

    Hatimae ikawa kweli.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Alikiba- Aje (Official Video)

    Iko poa
Back
Top Bottom