Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

Kama Jf jukwaa la siasa litaendelea hivi hakika itapoteza wachangiaji wengi. Jukwaa juu mpaka chini linajaa majungu na fitina tu, limekuwa kama kijiwe cha kahawa badala ya kuwa sehemu ya watu kuweka hoja zenye mashiko na nzito. Sahivi hoja za Jf ni nyepesi mno kama nyimbo za kizazi cha miaka hii zinazojulikana kwa jina la big ji.
Natamani uyaongee tena hayo maneno Leo...
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Kesha tumbuliwa,utabiri umeenda njema kabisa
 
Umetisha mkuu. Yametimia
 
Mkuu we ni noma sana,,,,,utabili wako umetimia ndani ya miezi 6
 
Wewe ni muongo na ni muongo sana. Urafiki wa Dr. Magufuli na Mh. Kitwanga siyo hoja ya kumteua kuwa waziri. Ingekuwa hivyo basi Masawe wa BOT naye angemteua maana naye ni rafiki yake wa karibu sana. Mimi namfahamu vizuri sana Charles Kitwanga. Ni moja ya viongozi wachache wenye msimamo na utendaji wa kazi. Ni mtu mwenye maadili na huwa hapendi uvivu na mtu wa maamuzi. Mi sema nilipenda angepewa wizara ya viwanda na biashara maana ni mtu anayeweza kufanya maamuzi. Ila hata huko mambo ya ndani anafaa tu Kwa sababu ni sehemu pekee inayohitaji mtu ambaye ana msimamo asiyeweza kuyumbishwa na mafisadi. Hivyo Charles Kitwanga ni Jembe!
Wewe najua utakuwa umejichimbia kabisaa....

Who is a liar now? Dunia inakucheka mkui
 
Kama kunawatu wasiojielewa ni wewe. Huyo Kitwanga unaemuongelea hapa unamfahamu vyema au ni huo wivu wenu wa kike? muacheni afanye kazi msije anza mletea stress zenu zisizo na mpango. Huo ni wivu wa kike. Na kwa maneno yako hayo unadhani mheshimiwa Rais hajui anachofanya. We kilaza sana aisee. Hatuhitaji majungu huku.
Hahahaaa!
 
Duh! Am speechless mkuu, Kama ni utabiri basi umetimia,Kama Sio utabiri basi wewe ni mwanza mtandao.
Utabiri wako uliutoa dec vijana wa ccm wakakushambulia wengine wakadiriki kusema watatembea uchi,Leo hii hata kuja humu kucoment wanaona Aibu,hata wale old members humu Hawaonekani.
Wengi huwa wanazania wapinzani humu ni ukawa tu,no kuna Watu humu wataalamu wa kunusa,wako ndani ya system but you will never see them showing it in public.
 
Wakuu Naombeni Namba za simu za PHD au Bank account nimtumie Hela ya kula hata bia(kitwangwa) weekend hii yote
 
Back
Top Bottom