sure man ..... c.w.t is an empty teeth barking dog.Hii kada ya Ualimu siwezi kuihurumia kabisa.... Hawana umoja, hawana msimamo. So haya yote ni ugonjwa wankijitakia... I stand to be corrected!
Basi inabidi nawewe ufuate nyayo zao,Lasivyo utalalamika na kulaumu unashtukia tu miaka 60 hii hapa.....Adui wa Walimu ni Walimu wenzao waliotoroka ualimu wakawa Vigogo
Hili pia huwa naliwaza sn mie.Lazima ni kubwa hata huko sekondari ni kubwa snNinachokiona Mimi huo umoja unaosemwa unaweza ukaleta direct impact kwa wahusika physically..nahisi ndo maana walimu wanaogopa..ila nimegundua kuwa kuna kitu kinaweza kuwa kinaendelea ndani ya mioyo ya walimu kimyakimya( sema tu wengi hatujagundua)..hivi unawezaje kuamini kuwa mwanafunzi kasoma darasa la kwanza hadi la saba asijue kusoma wala kuandika?.sijui lakini.
Anzisha basi mgomo ili nasisi tuamini kuwa hata wewe huna uoga wa kijinga na huhofii lolote.nadhan wa kukuunga watakuwepo.wacha tuonewe ni ujinga wetu na uoga wa kijinga utafikiri bila kazi hiyo huwezi kuishi ukijiamini unaweza kuepuka kuonewa
Kwani walimu wa shule ya msingi wanalipwa mishara midogo kuliko sekondari?Ni kweli kabisa mtoa hoja hujakosea..kwa maoni yangu ningefurahi kama walimu wangeboreshewa maslahi yao..na kama ingewezekana walimu wa shule ya msingi ndiyo wangetakiwa kupata mshahara mkubwa zaidi kuliko level zinazofuata kama sekondari nk..hii ni kwa sababu mwalimu wa primary ana kazi kubwa sana kwa huyu mwanafunzi..lakini Leo hii Mwl wa primary anaonekana hana thamani yoyote..watakuja na mikakati mingi sana ya kuboresha elimu lakini wasipowajali walimu ni hakuna kitakachobadilika
Yaani walimu wa Tanzania wananyanyaswa sana,Tunaenda kwa vipaumbele, sasa ni madawati kwanza, na wanafunzi wakiyavunja walimu watayalipa kwa kukatwa mishahara yao.Lazima yadumu milele.
Kwani wewe mkuu unaishi Rwanda?Umefanyia utafiti wako wapi maana hii ni kali sana halafuu jifunze mahali pa kutumia sauti "r" na "l"