Recent content by GWATABHIKURUME

  1. G

    JamiiForums Tanzania Shirika jipya la ndege kuanza tanzania

    Jamani mnifumbue masikio jana nimesikia kwa mbali kuwa tanzania kuna shirika jingine la ndege litaanza safari zake kwa kutumia ndege kubwa za air bus nimekuta kipindi ndio kinaisha sikuelewa vizuri aliye na habari atujuze
  2. G

    JamiiForums Tanzania Panther-Save up to 30 per cent on your car fuel costs

    Kuwa mtu unayeweza kueleza vizuri watu waelewe unachokisema watu wanahitaji ila hawajui we unafikiri dola mia mchezo?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Panther (fuel saving up to 50%)

    Jamani mmesikia kuhusu hii teknolojia ya kupunguza gharama ya mafuta kwenye magari kwa kufunga kifaa maalum cha kupunguza gharama? Nimeona mtu akiuza ila naogopa kuingia mkenge, mwenye taarifa zaidi atujuze!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Are you in Japan? I have a biz proposal please contact me

    Mie niko Japan ni biashara gani sema!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ng'ombe wa maziwa

    Jaribu kwa hawa jamaa wa farm friends tanzania ltd wako mkoa wa tanga wanashirikiana sana na kampuni ya maziwa tanga iitwayo tanga fresh ltd pamoja na tanga dairies cooperative union (tdcu) namba yao ya simu 027 2646919 ukimpata mtu anaitwa rashid mohamed nadhani utapata ushauri mzuri
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kabila linaloongoza kuchapia kiswahiri hili hapa!

    Ni Wakurya na wewe usichapie!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Hivi mafia iko zanzibar au tanzania bara?

    Hapa mkuu nina wasiwasi umechemka Kagunguli ni kisiwa kweli? Umeacha Kunene, Bwiro, Kamasi na vinginevyo!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Jimbo la musoma mjini ccm watalipat tena?

    Jimbo lilikuwa mikononi mwa CCM kupitia mbunge Mathayo, katika uchaguzi uliopita likachukuliwa na CHADEMA swali ni je CCM wafanyeje ili kulinusuru hili jimbo? Taratibu wanajamii
  9. G

    JamiiForums Tanzania Jimbo la musoma mjini ccm watalipat tena?

    Wanasiasa tupeane taarifa kuhusu mtazamo wenu na jimbo hili!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Deal ya kutengeneza Business Cards

    Wasiliana na mtu anaitwa Daniel Manimba naamini kazi yake utaipenda 0713660067 au 0784660067
  11. G

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye atakayemuondoa bungeni Nimrod Mkono2015...

    Hapa nina wasiwasi anieleze umbali uliopo toka Bugoji hadi Suguti na aseme idadi ya wakazi walioko katika kijiji cha Saragana.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Matokeo yangu ni haya jamani msaada nielekee upande upi mtoto wa mkulima mie

    Gs s, geo s, chem e, bios s, bam f 3.17
  13. G

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya pakti

    Hawa jamaa wa Tanga Fresh wako makini tena wako very open na mfumo wao wa kupokea na kusindika maziwa tumetembelea pale mara kadhaa na wanakaribisha watu kiwandani kuona na kutembelea mfumo mzima wa usindikaji.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Re: Light duty construction equipments - Kutoka Japan

    sio maswala mbona hata lugha yetu pia bado ni shida? !
  15. G

    JamiiForums Tanzania changamkia hii... how to make money online for free

    Hili jamvi lina watu wenye akili timamu na ufahamu usidhani ni mahali unaweza kuleta issues zako za utapeli na watu wakakuvumilia! Ebu kuwa mstaarabu! Au isije kuwa wewe umeshatapeliwa tayari unatafuta wa kukusaidia! Sawa...
Back
Top Bottom