Panther (fuel saving up to 50%) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Panther (fuel saving up to 50%)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by GWATABHIKURUME, Aug 16, 2012.

 1. G

  GWATABHIKURUME Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mmesikia kuhusu hii teknolojia ya kupunguza gharama ya mafuta kwenye magari kwa kufunga kifaa maalum cha kupunguza gharama? Nimeona mtu akiuza ila naogopa kuingia mkenge, mwenye taarifa zaidi atujuze!
   
Loading...