Re: Light duty construction equipments - Kutoka Japan

newazz

JF-Expert Member
Mar 28, 2009
843
780
Naomba msaada wa kujua kama kuna mtu anaijua website, inayoshughulika na exporting light duty construction equipment kutoka Japan.Nazungumzia vifaa kama double roller double drum, asaphalt cutter, bitumen sprayer Nk. Ninataka kununua vifaa hivyo toka Japan, kwani wanao ubora wa vifaa kama hivyo.Utanisaidia sana kama utaieleza endapo umeshawahi kuagiza toka kwao na kama huduma yao ni nzuri.
 
Asante kwa shule, nafikiri imekuwa msaada kwa wengi, pamoja na mimi.
 
Hakuna mwenye uzoefu wa kuagiza construction equipments Sorry equipment, hii ya equipments imekolea muda mrefu.

Home of Great Thinkers.....!!!
 
Bagamoyo 1,

Vifaa ninavyohitaji nimeviandika kwenye post yangu juu kabisa.... Hata hivyo ni hivi hapa:

1.Roller double drum ( one ton) any brand from Japan

2. Asaphalt cutter- Light duty

3. Bitumen Sprayer machine.
 
Gonga hapa Import From Japan - Cars, Parts, Half Cuts, Front Cuts, Trucks, Forklifts, Machinery, Tractors, Motorhomes, Buses, Motorbikes, Boats, Jetskis ... . Mimi nilinunua trekta kutoka kwao na ipo TZ.

2. Asaphalt cutter- Light duty

3. Bitumen Sprayer machine.

Gonga hapa Import From Japan - Cars, Parts, Half Cuts, Front Cuts, Trucks, Forklifts, Machinery, Tractors, Motorhomes, Buses, Motorbikes, Boats, Jetskis ...
 
Back
Top Bottom