Shirika jipya la ndege kuanza tanzania

Mar 1, 2012
26
3
Jamani mnifumbue masikio jana nimesikia kwa mbali kuwa tanzania kuna shirika jingine la ndege litaanza safari zake kwa kutumia ndege kubwa za air bus nimekuta kipindi ndio kinaisha sikuelewa vizuri aliye na habari atujuze
 
New African budget airline Fastjet will absorb Fly540

on June 21, 2012 in Africa
New details have emerged about FastJet, a proposed low-cost airline that will serve Africa.
FastJet, which is backed by Sir Stelios Haji-Ioannou of EasyJet fame, will initially acquire the African airline Fly540 and restructure it as a low-cost carrier.
An statement from Rubicon, the British investment firm that has purchased Fly540, read: “The combined talents of Rubicon’s management team and our partners from Lonrho and Sir Stelios’ easyGroup will transform Fly540, already a growing and successful business, into Fastjet, a low cost, point-to-point, no frills all jet airline for Africa.”
FastJet will serve Kenya, Tanzania, Ghana, and Angola with a one-way flight between two countries expected to be around $70-80. These countries have a combined population over 100 million, and Fastjet aims to carry more than 12 million passengers per year by providing affordable fares to middle-class families.
While FastJet is still in early stages of development, they hope to be flying by the end of 2012.
The official statement continued: “Plans for the launch of ‘Fastjet’ are underway but not yet finalised and the introduction of an appropriate fleet of modern jet aircraft may require the raising of additional funding”.

Source New African budget airline Fastjet will absorb Fly540 | Budget Airline News
 
habari njema hizo ila huenda ndo likaizika zaidi air tz yetu.
Sijui kama itaweza huu ushindani.
 
habari njema hizo ila huenda ndo likaizika zaidi air tz yetu.
Sijui kama itaweza huu ushindani.

Mkuu peri, That is where my worry is, will it serve domestically( within TZ borders) too or just International, bse kwenye taarifa ya mkuu Tripo9 nimeona transport fare btn the mentioned countries pekee..
 
Fly 540 si inaruka ndani ya nchi? kama watafanya restructuring inamaana wataimarisha safari za ndani na nje ya nchi. Hili ni pigo kwa mashirika ya usafiri wa anga yanayochechemea, kwani Sir Stelios ameapa hakuna mtu atafikiria kupanda basi kwa safari ya masaa 10, kwa mfumo wa low cost carrier ikibidi ataweka bomba zakujishikilia kwa abiria wakusimama.
 
habari njema hizo ila huenda ndo likaizika zaidi air tz yetu.
Sijui kama itaweza huu ushindani.

Na ifie mbali kama haiwezi kujendesha. Watu wanataka huduma bora bila kujali inatolewa na nani, hii italeta ushindani maana sasa hivi Precission Air "wanatunyasanyasa" sana kwa kuwa wako peke yao!
 
Hapana jamani Mwakyembe ameenda German kutafuta ushauri na wawekezaji wakubwa waje waone jinsi kuingia ubia na ATCL na kufufua shirika la ndege!kulikuwa na maonyesho makubwa sana ya ndege huko!!
 
Na ifie mbali kama haiwezi kujendesha. Watu wanataka huduma bora bila kujali inatolewa na nani, hii italeta ushindani maana sasa hivi Precission Air "wanatunyasanyasa" sana kwa kuwa wako peke yao!

Mkuu Mtoboasiri, naungana nawewe kusema Precision Air "wanatunyanyasa" sana..esp kwenye
1.delays au kuahirishwa kabisa kwa safari
2.Upotevu wa mizigo.

ila kwakuwa najua watakuwa wanawatu wao humu, labda watafanyia kazi kwani kama ni malalamiko, suggestions tumekwisha toa sana.
 
Hapana jamani Mwakyembe ameenda German kutafuta ushauri na wawekezaji wakubwa waje waone jinsi kuingia ubia na ATCL na kufufua shirika la ndege!kulikuwa na maonyesho makubwa sana ya ndege huko!!

Hawa FastJet ni kweli wanakuja and I guarantee you watawashikisha adabu Precision and the likes. Huyu Sir Stelios Haji-Ioannou is not your average busimess man. Alianzisha EasyJet na akabadilisha kabisa aviation Europe. Sasa hivi wapo kwenye hatua za mwisho na ukiangalia kwa makini utaona wanaanza kuruka nzhi zenye investment za madini, oil & Gas maana hizi ndizo routes ambazo ni busy sana. Bei za huyu bwana ni very low (compared na gharama za kwetu kwa sasa) na sitoshangaa a return ticket Mwanza/Dar ikashuka mpaka kufikia $20!

Mwakyembe pengine aanze kuongea na Ryanair. Hawa Ryanair ndio wanaweza mikiki mikiki ya FastJet. Awatafute hawa mabwana kwa mazungumzo zaidi;
1. Tony Ryan
2. Michael O'Leary
 
Hapana jamani Mwakyembe ameenda German kutafuta ushauri na wawekezaji wakubwa waje waone jinsi kuingia ubia na ATCL na kufufua shirika la ndege!kulikuwa na maonyesho makubwa sana ya ndege huko!!
kuwekeza na ujerumani, nimeipenda ujerumani. hao ndo wawwekezaji bora.
 
Wakulu,

Fastjet itakuwa na kituo chake kikuu nchini Tanzania na baadae kutakuwa na kituo kingine Nairobi.

Tiketi zake za bei ya chini kabisa kwa tiketi ya moja kwa moja zitakuwa $20 bila VAT na makato mengine. Na tayari zoezi la kusanya usaili lilikwishaanza mwanzoni mwa mwezi huu mjini Dar-es-Salaam.

Hiyo AIRBUS A319 itawasili mjini Dar mwezi October na TCAA wamekwishatoa "go ahead" kwa dege hilo kutua Dar.

Kwahio kwa kuanzia ndege hiyo itakuwa ikifanya safari zake kati ya Dar na Nairobi na soko likiimarika basi safari zitasambaa kwenye miji ya Accra, Ghana na Luanda Angola.

Jina la kampuni hiyo katika soko la mitaji mjini London Uingereza London Stock Exchange litajulikana kama FJET na ni kampuni dada ya Fly540 ambayo inafanya safari zake kati ya miji ya Luanda na Accra.

fastjet_livery_mockup_01_50220765e43d9_5056c90e0b629.jpg

Welcome aboard on Fly540

Biashara hii barani Afrika imebuniwa na mfanya biashara maarufu na mtaalam wa biashara usafiri wa ndege wa bei nafuu aitwae Sir Stelios Haji-Ioannou ambae ni muasisi wa kampuni ya ndege maarufu barani Ulaya iitwayo EasyJet. Sir Stelios Haji-Ioannou ana hisa na pia ni mkurugenzi wa kampuni hii.

Akizungumza mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu Sir Stelios Haji-Ioannou alisema lengo la kampuni yake ni kuwa na abiria kiasi cha milioni 12 wakiwa wakisafiri katia ya miji mbalimbali barani Afrika akiwa anafanya hivyo sawia na biashara hiyo barani Ulaya.

Mustakabali wa ndege zingine ndogo ndogo barani humo bado kuangaliwa kama ushindani utakuwa sawa, yetu macho.
 
Hawa FastJet ni kweli wanakuja and I guarantee you watawashikisha adabu Precision and the likes. Huyu Sir Stelios Haji-Ioannou is not your average busimess man. Alianzisha EasyJet na akabadilisha kabisa aviation Europe. Sasa hivi wapo kwenye hatua za mwisho na ukiangalia kwa makini utaona wanaanza kuruka nzhi zenye investment za madini, oil & Gas maana hizi ndizo routes ambazo ni busy sana. Bei za huyu bwana ni very low (compared na gharama za kwetu kwa sasa) na sitoshangaa a return ticket Mwanza/Dar ikashuka mpaka kufikia $20!

Mwakyembe pengine aanze kuongea na Ryanair. Hawa Ryanair ndio wanaweza mikiki mikiki ya FastJet. Awatafute hawa mabwana kwa mazungumzo zaidi;
1. Tony Ryan
2. Michael O'Leary

$20?!come on you cant be serious man sasa si itakuwa bora kuishi mza unafanya kazi dar kuliko Mbagala?let it happen
 
My foot in high heels!
Mmenikumbusha ile ndege ya lawrence masha sijui? Ile ilikuwa 90,000 return ticket dar_mwanza_dar! Ilipoanza precision wakasema kabisa hatushushi bei, tuna-maintain quality and safety. Ndege ilikimbia yenyewe(ilikuwa colour blue and white, sikumbuki jina). Hii ya 20$, mara 70$ to anaza country? Mtafanya watu wknd wakanywee bia naroo!
 
Hii ni subsidiary ya EasyJET ya UK na ki ukweli wako vizuri sana kiutendaji.Nategemea watakuja kutoa challengekubwa kwa mashirika yaliyopo likiwemo lile linaloripoti kwa 'Genious' Mwakyembe
 
Hii ni subsidiary ya EasyJET ya UK na ki ukweli wako vizuri sana kiutendaji.Nategemea watakuja kutoa challengekubwa kwa mashirika yaliyopo likiwemo lile linaloripoti kwa 'Genious' Mwakyembe
 
Duh! 20$ /70? Unatokea bilcanas na unawahi ofisini CRDB Mwanza, itakuwa poaaaa kweli hakuna tena kupanda Sumury wala Green star
 
Back
Top Bottom