Kabila linaloongoza kuchapia kiswahiri hili hapa!

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
Nimethibitisha kabila la kimasai linaongoza kwa kuchapia lugha ya kiswahiri na mifano ya maneno wanayochapia nakupa kama unabisha nipe mifano ya maneno ya kiswahiri yanayochapiwa na kabila unalofikiri linaongoza.
1. Andazi-Andasi
2. unatoka wapi-inatoka wapi
3. Rafiki-Rapiki
4. Ngozi-Ngosi
5. soksi-soski
6. Mtu-Mutu
7.Bunduki-binduki
8.Endesha-Endesa
9. Nauza-Nausa
10. Ongeza-ongesa
 
unaposema kiswahiri unachapia kwa kabila lipi?
 
Labda kwa kutamka tu!lakini kwa waliosoma acha kabisa wako juu mno nilisoma na wawili class wakanipigia As za kiswahili 2003 na kingereza wanaongoza wao. Na wakuria je?
 
wamasai c waswahili hata wakikosea sawa tu a. Wana-sihasa mjengoni ndo wanaongoza kwa kiswa-english.
 
Nimethibitisha kabila la kimasai linaongoza kwa kuchapia lugha ya kiswahiri na mifano ya maneno wanayochapia nakupa kama unabisha nipe mifano ya maneno ya kiswahiri yanayochapiwa na kabila unalofikiri linaongoza.
1. Andazi-Andasi
2. unatoka wapi-inatoka wapi
3. Rafiki-Rapiki
4. Ngozi-Ngosi
5. soksi-soski
6. Mtu-Mutu
7.Bunduki-binduki
8.Endesha-Endesa
9. Nauza-Nausa
10. Ongeza-ongesa

Dar es salaam-sardalam
maziA-MASIWA
 
nimeguswa....
hata nyie kwenye kabila lenu mnachapia....hakuna ambaye yuko perfect lol
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom