Hivi mafia iko zanzibar au tanzania bara?

Mkuu wangu Kimbunga maisha ndugu yangu ndio yalitufikisha huko tulikuwa na Bob Mkandara.

Duh mkuu ritz hakika utakuwa unawajua wababe wa huko visiwani ambao huwa wanawazamisha watu ziwani na kujichukulia nyavu na makokoro! Sijui kama unamjua mtu mmoja aliyekuwa mbabe sana huko akiitwa Kitana. Bila shaka umewekeza huko manake bila hivyo ni vigumu kuvijua visiwa hivyo. Safi sana.
 
Last edited by a moderator:
Mafia ipo Tanzania bara. lkn ni Jmbo lilokosa MBUNGE MAKINI.
lkn kwa sasa vijana wa Mafia wamejipanga kumuangusha Bulj
 
Kumbe mambo ya mjini unayajua leo takuwepo huku kupumzisha kichwa karibu sana...takuwa na vijana wawili wa IFM.

Embu nijuze kuhusu gharama ya kupelekwa huko na hiyo boat kwa mtu mmoja!! Kuna nn huko? Kuangalia tu jinsi sehemu ya Ardhi ilivyozungukwa na maji au?
 
Mafia ni moja ya visiwa vya Tanzania Bara, kuna visiwa vingi tu Tanzania Bara kama Ukara, Kamanga, Nansio, Katunguru, Uzinza, Kigamboni, Karumo, Kisiwa cha Juma, Nyamurutunguru, Izinga, Gana, Burubi. Muriti, Igalla, Namilembe, Kagunguli.
Hapa mkuu nina wasiwasi umechemka Kagunguli ni kisiwa kweli? Umeacha Kunene, Bwiro, Kamasi na vinginevyo!
 
unajua maana ya neno "ZANZBAR" ni mkusanyiko wa visiwa vidogo vidogo ikiwemo mafia, mombasa kenya.

Sasa ukerewe haimo katika mkusanyiko wa hivyo visiwa. Ninachoona hapa ni Mtei Edwin ndio amenielewa, Tuanpotafuta njia za panya, kupitisha mambo yetu, matokeo yake hatuwi scientific. Kuna tatizo kubwa. Juzi juzi tu mlishindwa kutamka ni miaka 50 ya Tanganyika. Kuna nini vichwani mwenu. Uzi huu unawachangamsha tu, ili mjue mnachakachuliwa kila kukicha. kama ule mlima wa Kiwira.
 
Muulize vizuri aliewahi kuwa mbunge ccm wa huko mafia kwa jina kimbau,basi yeye atakueleza kila kitu...aliwahi lalamika walivyo sahulika na kutoa kama ile ya mh dogo janja kaimu mbunge wa arusha jana viwanja vya nmc (tahrir square) ebu mjaribu akiwa kwenye mood nzuri atachangia maada kwa uwazi na uhakika
 
Kuna kitu kilinijia katika akili, na nikaanza kutafakari suala hili. Nchi ya Tanzania ina Tanzania Zanzibar na Tanzania Bara. Tanganyika haipo tena (Miaka 50 ya Tanzania Bara, Stuka). Sasa Mafia katika sherehe ile iliondolewa maana haipo bara. Labada sielewi maana ya bara. Lakini hii inanitia wasi kuhusu hili jina la Tanzania bara kuchukua jina ka Tanganyika. Kama mafia iko visiwani basi ipate kiti baraza la wawakilishi kule Tanzania Visiwani.

Neno Tanzania bara limeiondoa Mafia?
Kuna Kilwa kisiwani, Songomnara, Songosongo, Mnazi..................
 
Mafia iko mkoa wa Pwani katika nchi ya Tanganyika. visiwa viko vingi tu Tanganyika hata Nyakatombe ni kisiwa vile vile.

kiko wapi hiki kiongozi!!nadhani naweza kutumia muda wangu wa likizo huko!!
 
Hawa ndio wasomi wetu.Yes,Tanzania bila wasomi inawezekana.
Kuna kitu kilinijia katika akili, na nikaanza kutafakari suala hili. Nchi ya Tanzania ina Tanzania Zanzibar na Tanzania Bara. Tanganyika haipo tena (Miaka 50 ya Tanzania Bara, Stuka). Sasa Mafia katika sherehe ile iliondolewa maana haipo bara. Labada sielewi maana ya bara. Lakini hii inanitia wasi kuhusu hili jina la Tanzania bara kuchukua jina ka Tanganyika. Kama mafia iko visiwani basi ipate kiti baraza la wawakilishi kule Tanzania Visiwani.

Neno Tanzania bara limeiondoa Mafia?
 
Muulize mh kimbao aliwahi kuwa mbunge wa huko alikuwa akilalamika sana eti wamesaulika..labda yeye atatupa ukweli kuhusu jambo ili
 
Kuna kitu kilinijia katika akili, na nikaanza kutafakari suala hili. Nchi ya Tanzania ina Tanzania Zanzibar na Tanzania Bara. Tanganyika haipo tena (Miaka 50 ya Tanzania Bara, Stuka). Sasa Mafia katika sherehe ile iliondolewa maana haipo bara. Labada sielewi maana ya bara. Lakini hii inanitia wasi kuhusu hili jina la Tanzania bara kuchukua jina ka Tanganyika. Kama mafia iko visiwani basi ipate kiti baraza la wawakilishi kule Tanzania Visiwani.

Neno Tanzania bara limeiondoa Mafia?
Ikiwa tafsiri ya Bara na visiwani ndio hivyo basi hata kwetu Ukerewe sii bara..Tupewe nchi vie vile..
 
Ikiwa tafsiri ya Bara na visiwani ndio hivyo basi hata kwetu Ukerewe sii bara..Tupewe nchi vie vile..

Tanzania mainland ni nini? sijui ndio Tanzania bara. kama ni hivyo jina Tanganyika lirudishwe, ili visiwa vyote vya tanganyika viingie katika hilo jina.
 
Back
Top Bottom