changamkia hii... how to make money online for free

Ndugu yangu, wizi wa nini? JF siyo sehemu ya kutapeli watu. Waweza fikiri shughuli halali ya kufanya na ukafanikiwa, hakuna sababu ya kufanya utapeli.

Any way, goodluck
 
Hili jamvi lina watu wenye akili timamu na ufahamu usidhani ni mahali unaweza kuleta issues zako za utapeli na watu wakakuvumilia! Ebu kuwa mstaarabu!
Au isije kuwa wewe umeshatapeliwa tayari unatafuta wa kukusaidia! Sawa mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kuuumbe! unataka tu make you a favour ili uongeze mipoints!
hapa umegonga mwamba nenda ka try facebook hapa ni JF.
 
Back
Top Bottom