Kwaio unafikiri usajili wa Gapko ndio uta solve kiungo cha liverpool kilichooza? Hujui Gapko ni quick solution kwa ajili ya jota na diaz ambao wako majeruhi? Wao wauze wasiuze lakini kiungo cha liverpool kinahitaji reshuffle, atleast 1 dirisha hili then wawili june.
Nachofurahi Klopp siku hizi hajivungi anaropoka tu tunahitaji ku sign wachezaji. Sijui nini kimempata. Kiburi yake ni kama imepungua hivi he has been humbled.
Manchester City wanted to sign him but he chose loyalty above everything. Look now. The person who convinced him is nowhere to be found. So this is a good lesson to up coming and stars.
(🟢) NEW:
Klopp was made aware of FSG’s intentions in October. [The Athletic]
Ndio maana nilishangaa habari zilivozuka kwamba Liverpool will go all in kwa Bellingham ili hali bei yake ni £120-150M nikajiuliza ni hawa hawa Yankees au kuna nini kumbe walishaongea na klopp klabu inauzwa, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.