mwanauvinza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 365
- 1,061
Hii Timu haina tofauti na FURUSHI LA MAVI
Mgonjwa lazima apewe matumaini akiendelea kupata dawa japokuwa ni chungu. 😀Umevuta nini wewe?
Højlund & Fernandes wanaenda kuwafundisha kazi The Bavarians.
Hatuwezi kufungwa na walevi sisi.
HahahaDah kesho ntatokaje mimi
Mabeki wanaruka ruka uwanjani mnamlaumu kipaOnana anatupa tabu kumtetea