Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,733
Ningekuwa sina akili nisinge elewa series kama wew ndo huna kaka naana uelewi kitu paka ulambwe vibokoKumbe huna akili
Ningekuwa sina akili nisinge elewa series kama wew ndo huna kaka naana uelewi kitu paka ulambwe vibokoKumbe huna akili
Lkn ni series nzuri labda kama hawakuipromote vzrWalipata hasara sokoni
Wamezingua saana series tamu sana ileLkn ni series nzuri labda kama hawakuipromote vzr
Inaitwaje hii series au movie?Ha ha ha
Jamaa anagawa kichapo heavy
Halafu bado ndoto yake ni kuwa Greatest swordman in the world.
Sio Mchezo.
Halafu kuna Chef Mzee wa suti. Mkono wa kavu kavu.
Story nzuri sanaIna mhusu mzee wa Kirusi aliyekuwa Mafia miaka ya nyuma huko Urusi, baadae anahamia London na kuachana na ishu hizo, sasa kuna biashara zingine zinaendelea kufanyika ila kijana wake wa kiume mkubwa ndio anabaki kusimamia biashara zote..
Mwanae anakuja kugundua dili zote haramu za mshua, pia kuna magenge ya kirusi bado pia wanamfatilia mzee wake, kwa hyo dogo anapambana kuisave familia yake
Lupin safi sanaAngalien hizi
Lupin
Discovery of witch so2
Hutojutia bando lako
Link mkuu niitafuteHalafu kuna chuma kinaitwa the Widow ..inazungumzia mwanamke mmoja kutoka Scotland anaenda kumtafuta mumewe Congo uko anakutana na kisanga ..kumbe mwishowe anakuja kugundua mumewe kaoa toto la kitutsi dah...anarudi kwao Scot kwa uchungu mzito aise ..ila ni bonge ya series ..huko kuna unyama wa kutosha mzee..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kubali huna akili mzeeNingekuwa sina akili nisinge elewa series kama wew ndo huna kaka naana uelewi kitu paka ulambwe viboko
Lupin kalii sanaLupin safi sana
Kubali kuwa huna uelewa kichwani wa kujua series muongeza zero wew sijui uliishia la 4 😁😁 huku umejichanganya nenda kaangalie zilizo tafsiriwa na machizi wenzioKubali huna akili mzee
Kwahiyo unataka kufananisha show ya BB na huo uchafu wako?View attachment 2745610
Hata hii uwezi kuelewa 😁
Huna akili mjomba 😂😂Kubali kuwa huna uelewa kichwani wa kujua series muongeza zero wew sijui uliishia la 4 😁😁 huku umejichanganya nenda kaangalie zilizo tafsiriwa na machizi wenzio
Kubali unalambwa kaka😁😁Huna akili mjomba 😂😂
Nitajie character hata 15 wa bb nikupe pesa ya chaiKwahiyo unataka kufananisha show ya BB na huo uchafu wako?
Wtf*, you're psycho.
Link mkuu niitafute
Fupi na inaelewekaLupin kalii sana
Yeah kalii sana yule jamaa fundii sana 💯Fupi na inaeleweka