juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Kuondoka kwa Ward hivi haiwez kuwa kwa sababu wamiliki wapya kuwa imminent, maan hata mwaka haujaisha mtu kama Ward kusepa.Kwa kweli kwa sasa huyu Yankees hakutaka kubahatisha na usajili tena amesuka kiksosi kamili sana cha kazi na soon mtaanza kuona matunda powa sana... Timu inasukwa na kua idara yenye mbinu tofauti za usajili na wenye kua na mawasiliaono powa na kocha..
Kwa sasa hatujui sie tutaamkia kwa nani hakuna cha Ward wala Edwards
YNWA

NEW: Contact has already started from Liverpool for Jude Bellingham. #lfc [fabrizio romano]