Recent content by Gerald George J

  1. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume jaman

    All the best mama Sam
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mume na mke kulala chumba kimoja na kitanda kimoja,

    Haya mkuu tumekusikia ngoja waje wataalam zaidi huku nikijipanga kuchangia.
  3. G

    JamiiForums Tanzania used Toshiba Satellite U205-S5034 12.1 laptop for sale 280,000

    200000 niko tayari 0719302353
  4. G

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa magari ya automatic na manual...!!

    Home kulikua na gari ya manual tangu 1999 badae ikanunuliwa nyingine AT 2005 hadi sasa AT imekufa gearbox karibu mara 6 bt manual bado ipo na matengenezo ya manual ni rahic sn ukilinganisha na AT. Performance ya Manual ni kubwa sana kuliko ya AT. Wazungu wanasema AT ni kwa wavivu kama africans...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Madaktari!

    Mtoa mada hajielewi cjui alianza chuo kwa certificate na sasa ndo amepata ka degree kwa mda mrefu anaionea wivu Dr!
  6. G

    JamiiForums Tanzania About doctor of medicine

    Huwezi kupata admission kwa MD course kama haujasoma physics o level na a level. Na kwa ujumla course zote za udaktari kwa degree level lazima ue umesoma PCB hapa nchini. Waweza soma kozi zingn kama environmental health sciences. Karibu sana muhas.
  7. G

    JamiiForums Tanzania selection out

    Check out this name Denis G Mwakyusa
  8. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu huyu binti.

    She's after money dude! Leave her completely!
  9. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inaendeshwa "kimagumashi"...

    Acha uzushi wewe, au ccm mwaogopa kuona cdm wanavyojiimarisha?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

    Hii ni moja ya komenti ya wamalawi hao juu ya sakata hili There go the Tanzanian morons again! Now I am convinced you have no evidence backing your claim. I repeat you can’t win the battles of today by making reference to that insignificant battle with the lunatic Amin. You Tanzanians you...
  11. G

    JamiiForums Tanzania LONDON 2012 SUMMER OLYMPIC GAMEs

    scores pls na nani kafunga?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Am a vrgn Girl!!

    Karibu sana mgeni.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tuongee asubuhi Star Tv: Kufungiwa gazeti la MwanaHalisi

    Kweli nimeamini kuna vibaraka hapa tz, ila ninachoamini Kubenea hamumuwezi nyie shenzi type, kipindi kile mlimwagia tindikali na kuchukua kompyuta zt ofisini kwake mkijua mmeiba data zote sasa kawaanika kwny uovu wenu wa sakata la Dr Ulimboka eti mnakimbilia kumfungia kwanini msikanushe kwanza...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Power Breakfast na Kimombo- Super Sport Interview

    Hakuna lugha pale
  15. G

    JamiiForums Tanzania CV ya KOVA!!

    Ila leo ndo nimeamini Kova mpumbavu tu.
Back
Top Bottom