CV ya KOVA!!

Hata kama ana elimu itakuwa ni elimu cheti na siyo elimu maarifa
 
Sidhani kama ana VC ya kuthubutu kuweka mtandaoni!!!!!!! Kwa maamuzi yake tu, chiboko!!!
 
Mkuu BIG X...unapiga kofi ncha ya nkuki?:spy: wake wapo wengi tuu humu jamvini hebu tusubiri kama wataweza kukudondoshea
 
Last edited by a moderator:
mkuu mbona cv ya kova ipo njenje! haina haja ya kumuuliza mtu nayo ni:
1.macho yake hayana ushirikiano wakati wa kutazama, yaani la kushoto likiangalia mbele la kulia linaangalia kushoto.
2. ktk mtihani wake wa uafande alipata alama Z ambayo ni ndogo sana kuliko hata F.
 
Kwa hakika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kova ni kamanda madhubuti kabisa anaaminika na hawezi kufanya kazi kwa matakwa ya watu bali sheria ,kanuni na taratibu za kazi ndio muongozo wake. Kamanda endelea kwani kamamda bora na mtendaji huwa hapendwi na ndio maana tunasemaga kamanda mnoko na kamanda poa usikubali kuitwa kamanda poa bora uitwe kamanda mnoko lakini unafuata sheria, kanuni na taratibu za kazi usiwe na upendeleo wala huruma kwa watu.
 
Kova ni kielelezo tosha cha viongozi wetu. Kila uchao rais anasema amepotoshwa na wasaidizi wake. Soon tutasikia Kova akijitetea kuwa amepotoshwa. Viongozi wanaopotoshwa na kupotoka kirahisi hawafai katika taifa letu
 
Wakuu, hata kama mna hasira kwa upotoshaji wa makusudi na mazingaombwe anayotufanyia lazima staha iwepo; kwa umri wake na nafasi yake anastahili heshima yetu.
Pamoja sana!
 
Kova ni kamanda madhubuti kabisa anaaminika na hawezi kufanya kazi kwa matakwa ya watu bali sheria ,kanuni na taratibu za kazi ndio muongozo wake. Kamanda endelea kwani kamamda bora na mtendaji huwa hapendwi na ndio maana tunasemaga kamanda mnoko na kamanda poa usikubali kuitwa kamanda poa bora uitwe kamanda mnoko lakini unafuata sheria, kanuni na taratibu za kazi usiwe na upendeleo wala huruma kwa watu.

Sio mnoko ila IQ yake nahisi haijafikia kufanya kazi aliyonayo, rejesha kumbukumbu ishu ya jery mulo!! Alivotokwa povu bila ushahidi, sasa anaumbuka tena..
 
Back
Top Bottom