Gerald George J
Member
- Mar 6, 2011
- 20
- 2
Mtoa mada hajielewi cjui alianza chuo kwa certificate na sasa ndo amepata ka degree kwa mda mrefu anaionea wivu Dr!
Hebu jaribu kupitia na link hii! How to Correctly Use the Titles Dr. & PhD With a Name | eHow.com
Hii kitu kusema ukweli inachanganya watu. Hata manyau nyau nae anatumia Dr. Manyau nyau.
Hivi ni kwa nini madaktari (afya) wote au wengi wanatumia Dr. kabla ya majina yao hata kama hawana PhD?
Mimi nilifikiri Dr. ni kwa watu waliosomea PhD au labda waliotunukiwa kieheshima na chuo fulani, sasa nashangaaa mara nyingi nakutana na madaktari (afya) wengi wao wakiwa na degree moja tu lakini wanatumia Dr. kwenye majina yao, Je ni sawa, au kuna tofauti na Dr. ya PhD?
Throughout much of the academic world, the term "doctor" refers to an individual who has earned a degree of Doctor of Philosophy, or Ph.D. (an abbreviation for the Latin Philosophiæ Doctor; or alternativelyDoctor philosophiæ, D.Phil., meaning Teacher of Philosophy), or other research doctorate such as the Doctor of Science, or Sc.D. (an abbreviation of the Latin Scientiae Doctor). Beyond academia and in the classical professions, such as law and medicine, professional doctorates emerged such as the Juris Doctor J.D., Doctor of Medicine M.D. (an abbreviation of the Latin Medicinæ Doctor), Doctor of Osteopathic Medicine (D.O.), Doctor of Dental Surgery (D.D.S.) or Doctor of Dental Medicine (D.M.D.), Doctor of Podiatric Medicine (D.P.M.), Doctor of Optometry (O.D.), Doctor of Psychology (Psy.D.), Doctor of Audiology (Au.D.), Doctor of Chiropractic (D.C.), Doctor of Engineering (EngD), Doctor of Nursing Practice (D.N.P), Doctor of Pharmacy (PharmD), Doctor of Physical Therapy (D.P.T.), and as a courtesy since the 14th century (though in the UK prohibited by section 49(1) of the Medical Act 1983 List of Privy Council Orders) Bachelor of Medicine and Surgery MBBS, MBChB, MB, BCh, etc. (an abbreviation of the Latin Medicinae Baccalaureus et Baccalaureus Chirurgiae), Bachelor of Dental Surgery BDS, BChD(an abbreviation of the Latin Baccalaureus Chirurgiae Dentium).
wewe ndio una matatizo na IQ ndogo chini ya 70! kuna shida gani kuuliza? Bila kuuliza utajuaje?Ukitawaliwa tu basi wewe ni mtumwa milele, sasa na lugha nayo ni tatizo.
Baadae watakuja Wakatoriki watuulize matumizi ya "Father" na "Sister"
siyo sawa, mmoja ni undergraduate na mwingine ni graduate tena kwa shahada ya usanifu ktk sanaa.
afadhali umewapa elimu. Ila nina wasiwasi kama wataielewa.
Ni matokeo ya utumwa!. Wenye lugha yao hawana tatizo na matumizi. We tumia tu kama ulivyoelekezwa!.wewe ndio una matatizo na IQ ndogo chini ya 70! kuna shida gani kuuliza? Bila kuuliza utajuaje?
Hivi ni kwa nini madaktari (afya) wote au wengi wanatumia Dr. kabla ya majina yao hata kama hawana PhD?
Mimi nilifikiri Dr. ni kwa watu waliosomea PhD au labda waliotunukiwa kieheshima na chuo fulani, sasa nashangaaa mara nyingi nakutana na madaktari (afya) wengi wao wakiwa na degree moja tu lakini wanatumia Dr. kwenye majina yao, Je ni sawa, au kuna tofauti na Dr. ya PhD?
Sio mimi nimeitoa wapi, iko hivyo, Dr. iko kwa ajili ya watu wenye PhD tu aidha ya kusomea au ya heshima! kwa hiyo kama mtu anatumia Dr. kujitambulisha ina maana ana PhD na si vinginevyo!
Tuwaacha madaktari jamani ni most respectable field especially Doctor of medicine.
Hivi ni kwa nini madaktari (afya) wote au wengi wanatumia Dr. kabla ya majina yao hata kama hawana PhD?
Mimi nilifikiri Dr. ni kwa watu waliosomea PhD au labda waliotunukiwa kieheshima na chuo fulani, sasa nashangaaa mara nyingi nakutana na madaktari (afya) wengi wao wakiwa na degree moja tu lakini wanatumia Dr. kwenye majina yao, Je ni sawa, au kuna tofauti na Dr. ya PhD?
bongo kungekuwa na madokta watu wangeenda kutibiwa india???? madokta wetu sio madokta ni waganga njaa tu . hawana tofauti na akina maji marefu