Naombeni ushauri kuhusu huyu binti. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri kuhusu huyu binti.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Aug 5, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kuna binti mmoja niliwahi kumtongoza akanikataa,basi me nikabembeleza sana ila akawa amebaki na msimamo wake,kwa kweli huyu binti nilitokea kumpenda sana na ikafikia hadi hatua nikawa namhonga nikitegemea labda atabadili msimamo wake,cku aliyonivunja moyo ni cku ambayo aliniambia kwamba hataki kuwa mpenzi wangu kwa sababu sina mvuto so kwa kifupi simvutii{fikiria mtu unavojickia ukiambiwa hayo maneno weather ni kweli huna mvuto or not}kwa kweli nilijickia vibaya sana na ikumbukwe kwamba huyu binti nilikua namsaidia mambo mbalimbali ya kimaisha,basi me nikaona kama amenidharau to the maximum,nikakata misaada yote ambayo nilikua naitoa kwake coz nilijua hata nimpe nini ni ngumu kumpata,nikawa nawasliana nae mara moja moja ili kumfanya asigundue kwamba niliudhka na yale maneno yake,sasa imèfika jana ucku akanitumia sms akinitakia usiku mwema,mie nikamjibu to ''nawe pia gnt''baadae akanipigia simu akawa ananilalamikia kwamba cku hzi nina roho mbaya na eti namchukia sana,nikamuulza nan alimwambia kuwa namchukia akawa anapotezea,baadae ktka maongez cmu yangu ikakata charge so nikabadilisha cmu haraka haraka ili nimskilze shida yake,but nikakuta simu yake iko busy zaidi ya mara 2,me nkaamua kulala,leo tena kanitumia txt akanambia iwe mara ya mwisho mim kuwasliana nae,nikamjbu kwa nin akanambia tena mie namchukia na simpendi,nikamjbu nikamwambia simchukii na ni kweli simpend cos she is not my gal,kumwambia ivo akaja juu kwamba kumbe mda wote huo amepoteza kwangu me namchukulia poa tu,iweje leo nimwambie sio gal wangu!sijamjbu chochote mpaka saa hzi,sasa wakuu nisaidieni kuisoma chemistry ya huyu binti,yeye aliisha niambia mimi simvutii,iweje leo tena aniambie hayo maneno yake?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  duh...
  ukisikia babu jinga ndo wewe....

  umsome nini hapo tena
  shukuru yameisha,move on...
  au unataka uchunwe mpaka urithi ????
   
 3. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hamna kitu hapo! Anataka kurejesha mahusiano tena ili aendelee kutafuna visenti vyako. Nawe pia unaendelea kushikishwa pembe wakati wengine wanakamua maziwa. Pole!
   
 4. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Achana naye sababu atakuja yy akisema anakupenda. Achana naye kabisa tena hata mazoea kata. Hy anapenda hz huduma tu unazompatia na si kingine
   
 5. d

  danizzo JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alikuambia kua auna mvuto sio ATM yako. Uyo dem akupendi ata nukta1 na ikaja cku akukubalia tegemea lazima atakuja kukufanya mbaya. Bytheway Naisi atakua dent tena under 23 KIMEO!!
   
 6. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  huyo demu hakupendi asilimia 100. Acha ubabu jinga.
   
 7. Bob Lee Swagger

  Bob Lee Swagger JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu nimekurahisishia sehemu zenye ujumbe mzito, maana naona unajifanya kipofu na kiziwi.
  Mengine ameongezea The Boss hapa chini...

  Asante sana mkuu.
   
 8. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Ukipenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli uwanja wa ndege.
  SOURCE: Mpoki
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  khaaa! boss achunwe hadi urithi lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  khaaa! niambie tu kwamba wewe sio ndugu yangu manake real ningekutia mabao ya usoni. ushaambiwa kabisa kwamba hupendwi so what unataka nini tena? ama ndo uchunwe hadi urith kama alivyosema boss?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. M

  Mundu JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ...ameshasema hakutaki kaa chonjo...
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Mwaka huu tutaombana ushauri mpaka kiatu gani mtu aanze kuvaa, cha mguu wa kulia au kushoto.

  We subiri tu hapa.
   
 13. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  hapendwi mtu inapendwa pochi tu... halafu kuambiwa 'hupendwi kwa sababu huna mvuto' ni kilele cha matusi ambayo huyo binti angeweza kukuchagulia
   
 14. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hahahahaha...mwenye macho haambiwi tazama. Wahenga hawakuwa wajinga kuutoa msemo huu...

  The boss..umenena aiseee!
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Babujii hajajua "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
   
 16. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Achana na huyo kicheche
   
 17. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  thanx mkuu,me niliisha amua kumpotezea siku nyingi.
   
 18. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Sasa hapa unaomba ushauri wa nini na tayari umeshaamua kumbe?
   
 19. G

  Gerald George J Member

  #19
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  She's after money dude! Leave her completely!
   
 20. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Chezea mapenzi wewe,jamaa hapa bado anamtamani bint na binti hana habari amemiss tu charity funds gharamia mwaya penye uzia penyeza rupia
   
Loading...