Recent content by ganja man

  1. ganja man

    JamiiForums Tanzania Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

    Dah mkuu ni kweli n hayo mamboz yapo hapa kijiweni kuna mdada anauza kwelikweli ila muda wa kula yy anaend nunua soda n mkate ama anasong ugali wake ukut anakula kile anachotuzia si yy wala mabinti zake. Niliwai wauliza kwann awali nikajibiwa chakula ukipika kinakinaisha
  2. ganja man

    JamiiForums Tanzania China na Urusi zalaani sera ya Nyuklia ya Marekani

    Nimewahi seat....ngoja waje
  3. ganja man

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Vyone chakachaka i'm burning up. Nausaka sana
  4. ganja man

    JamiiForums Tanzania Sayansi imethibitisha: Mwanamke huwa haridhiki kamwe

    Wenye vichwa makini kama wewe ni wachache
  5. ganja man

    JamiiForums Tanzania Chuo Gani kinadoa mafunzo ya Udereva wa Mitambo?

    Veta shinyanga sina contact zao ila nina namba mwalim mkuu anaefundisha iyo mitambo hapo chuoni. Pia kila mtambo ni miez miwili yani ni short cz
  6. ganja man

    JamiiForums Tanzania Chuo Gani kinadoa mafunzo ya Udereva wa Mitambo?

    Chuo kipo shinyanga.kozi zinatolewa kwa muda wa miezi miwili mitambo ifundishwayo ni motor grader.excavtor na front end loader......kuhusu ada 580000 kwa grader,640000 kwa excavator na end loader.. . Kama unaswali uliza
  7. ganja man

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Kuvaa Kanga...

    Aaahhhhaaahaaa unataka uone chura ikiwa kwenye ndembendembe aaaaahhhaaahhhhhaa
  8. ganja man

    JamiiForums Tanzania Mke mwenye wivu uliopitiliza

    Ebu anza kumchunguza uyo mkeo kimya kimya kuna kitu hapo anakuficha so anatumia njia ya kukuwekea wivu ili wewe usipate shaka juu yake
  9. ganja man

    JamiiForums Tanzania Polisi FFU Ukonga nimewakosea nini? Nimepigwa mimi,mke wangu na Mama mkwe bila kosa lolote. Nifanyaje kuchukua hatua?

    Pole sana mkuu ila chukua hatua yeyote unayoijua wewe. Kama ingekuwa ni mimi ningelipiza kwa polisi yeyote ambaye napafahamu anapoish ningeteketeza familia yake ama yeye mwenyewe hata kumteka na kwenda kumchinja ingekuwa safiiii tu. Yani inauma sana sana unanipiga mm mke na mkwe aaahh tena bila...
  10. ganja man

    JamiiForums Tanzania DAR: Zitto Kabwe(Mb) akamatwa na Polisi akiwa Uwanja wa Ndege akitokea Kigoma

    tutasikia mengi tu hy mkulu huyu
  11. ganja man

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa binadamu, maswali ni mengi kuliko majibu!

    Noted Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ganja man

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ikulu: Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma aapishwa, Rais atoa neno

    JPM kawa kama muimba taalabu. madongo mengiiii JK dongo lako ilo acha kuwashwawashwa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ganja man

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanahangaika sana na mambo ya wanawake, kuliko wanawake wanavyojishughulisha na mambo ya wanaume

    Akikujibu nishtue Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ganja man

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanamke anafikisha miaka 40 hajaolewa na bado anaishi nyumba ya familia?

    Kikubwa uzima tu kuolewa maamuzi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom