NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
- Thread starter
- #181
hahahah,hata siwezi kuhadithia ivoo..Hahahahahahaha lol! Sasa unaenjoy kipi kumuona mumeo kavaa Kanga? Au hamu ya kumpa utamu huongezeka?
hahahah,hata siwezi kuhadithia ivoo..Hahahahahahaha lol! Sasa unaenjoy kipi kumuona mumeo kavaa Kanga? Au hamu ya kumpa utamu huongezeka?
Habari ya Leo Waungwana naomba kuuliza wanaume ni hivi napenda sana kumuona mume wangu amevaa Kanga yangu baada ya kikoi,mfano on weekend yuko nyumbani anavaa kanga yake ya kiuno chumbani ila.
huyu wangu mimi ni 17yrs sasa tangu amenioa hajawahi kuvaa kanga,kama atavaa basi ni kikoi na pia akiwa anakwenda msikitini Ijumaa,au kifupi atavaa anapo vaa kanzu ila sio eti ame relax.
Nimemuomba wapi anakwambia sasa unataka kunichefua eeeh mwisho utanambia nivae Bra yani ongea yote atakufanyia mwambie natamani unipikie atapika ila kuvaa kanga hata sijui anajisikiaje...
Nyumbani havai hata sijui nimfanyeje nimejitahidi wapiiiiiii wenzangu wenye waume zenu ebu nipeni maujanja,yote nimeweza ila hili limenishindaaa
Yani hata watoto anawafundisha the same wakitoka msikitini haya nendeni mka change vueni Vikoi ananikeraaaaaaaaaa ila nanyamaza tuu





KhaaaWataka avae khanga mkiwa chumban ikatokea mwizi kaingia kwenu kaiba huyo mmeo atoke na khanga yake kumkimbiza na wew utoke na khanga yako kupiga kelele![]()
![]()
dah





Nimekusikia..Umeomba ushauri,sasa sikiliza.Usirudie kumshawishi,heshimu maamuzi yake.Si vizuri kumlazimisha mtu kitu ambacho hapendi kwa nia tu ya kufurahisha nafsi yako,hata mimi siwezi kuvaa khanga hata kwa mtutu,kwa tulio wengi inaleta tafsiri mbaya sana mwanaume kuvaa khanga hata kama ni chumbani ambapo hauonwi na mtu.Angalia maoni ya majority ya wanaume kwenye huu uzi wako nadhani utatumia busara,ni selfishness kumlazimisha mtu kitu asichopenda kwa nia tu ya kufurahisha nafsi yako.
Shosti nikwambie kitu eeh,mie napenda sanaaa kumridhia mume wangu kwa vitu vingi na hua hata vyengine its wrong ila kwake hua nafumba macho,sasa nilichoomba kwake sio kitu ambacho hakiwezekani,yeye most of the time mfano nimesha vaa dnakwenda harusini iwe na mamake au na my friends anakwambia tuu mke wangu please usiende baki na mimi,ivi unajua inavyokera? ila mimi Wallah sikasiriki mbele yake,ntafurahi kama kawaida yetu sasa yeye kumwambia hicho ndio hata kusikia hataki ila pia kwa mchango niloupata hapa nimepata ufumbuzi...Khaaaaa wanawake cjui tunatakaga nn jmn yani huyu kila kitu anapewa na kufanyiwa lkn bado tu hajalidhika kuna kitu kinamuuma eti kwann havai khanga![]()
hahahaha Hongera mwaya..Wangu anavaaga kitenge nachukia kumbe wengine mnapenda!!
hahaha kumuwacha haiwezekani mkuu nampendaaaaaaaa mpaka naogopa,ananidekeza kupita kiyasi,nimemzowea sanaaaa,ni mume wangu,rafiki yangu,mshauri wangu,mzazi mwenzangu furaha ya moyo wangu mlezi wa watoto wetu,namuomba mwenyezi mungu aniwekee wallah..Achana nae njoo kwangu ntakuvalia kanga zako zoote
Shosti nakuelewa ila mie hiki huenda ikawa ni kiduchu sana kwako au its not even an issue ila kwangu kinanikera,nakubali nifanyeje tuu,nandio mana nikaleta hapa ili niweze kumalizana nalo....MIAKA 17 BADO TU HUJAJUA KUWA HILO HALIPENDI NA HAWEZI KULIFANYA!
kuna vitu vya kukukera jamani sio ati havai kanga!
mweeeeeeeeeeeeeeeeee!
Ahsante...Nimependa tu jitihada yako ya kumfanya mmeo akuvutie, mwingine angesema napendezwa na wanaume wanaovaa khanga mme wangu hana maana, very good approach, mi ningekuwa yeye doh, ningeikimbilia hiyo fursa haraka kabisa, hongera Dada kwa kujitahidi kumfanya mme unavyojisikia. GOOD, GOOD.
Sasa kelele za nini kama kmwacha huwez ndo hivo tena mwenzio hapendi kuvaa kangahahaha kumuwacha haiwezekani mkuu nampendaaaaaaaa mpaka naogopa,ananidekeza kupita kiyasi,nimemzowea sanaaaa,ni mume wangu,rafiki yangu,mshauri wangu,mzazi mwenzangu furaha ya moyo wangu mlezi wa watoto wetu,namuomba mwenyezi mungu aniwekee wallah..