Chuo Gani kinadoa mafunzo ya Udereva wa Mitambo?

Chuo Gani kinadoa mafunzo ya Udereva wa Mitambo?

Zero 2 Hero

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
649
Reaction score
1,461
Habarini wanajf
Naomba kufahamishwa chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa mitambo kama Caterpillar, Greda, kijiko nk. Ninapenda kujua vyuo, mahali vilipo, jina la course pia na gharama kama inawezekana. Chuo kikiwa Dar itapendeza zaidi. Nitashukuru kwa msaada wenu wakuu.
 
Chuo kinaitwaje? Course inachukua muda gani na gharama zake zikoje?
 
Mkuu nenda NIT wapo Mabibo ninahakika utapata Msaada katika hilo!
 
Chuo kipo shinyanga.kozi zinatolewa kwa muda wa miezi miwili mitambo ifundishwayo ni motor grader.excavtor na front end loader......kuhusu ada 580000 kwa grader,640000 kwa excavator na end loader.. .

Kama unaswali uliza
 
Asante sana mkuu. Je hiyo miezi 2 ni kwa kila chombo?
 
Chuo kipo shinyanga.kozi zinatolewa kwa muda wa miezi miwili mitambo ifundishwayo ni motor grader.excavtor na front end loader......kuhusu ada 580000 kwa grader,640000 kwa excavator na end loader.. .

Kama unaswali uliza
Kinaitwaje weka na contacts zake.
 
Nenda Veta, kama si wao wanaotoa mafunzo hayo watakuelekeza yanakotolewa maana wana link na vyuo vyote vya aina hiyo...
 
Veta shinyanga sina contact zao ila nina namba mwalim mkuu anaefundisha iyo mitambo hapo chuoni. Pia kila mtambo ni miez miwili yani ni short cz
Shukrani wana hata website yao MTU ukiandika veta shinyanga utaona website yao pia chuo cha kihonda veta morogoro kinatoa hizo kozi na wana website pia ukiandika kihonda veta kwenye google utapata.ukishapata wapigie wakueleze kozi unayotaka inafanyika lini.
 
Asante ni wote mliotoa ushirikiano. Hii ndio faida ya jf
 
Asante kushukuru
Nimeangalia websites ya kihonda hakuna. Naona ni shinyanga. Kwa watu tunaojiendeleza huu umbali ni tatizo sana. Labda kwa mtu ambaye ni fresh from school ama asiye na majukumu
 
Africa kusini unapewa na lesseni ila andaa kama mil 3 ikiwa nauli malipo ya kusoma na malazi kwa kipindi chote
 
Back
Top Bottom