Nimejaribu kutafuta ile post ya Business Intelligence Analyst zilizotangazwa na TRA kule kwenye system yao haionekani. Yaani pale unapotaka ku submit application kuna sehemu unapochagua vacancy , hii post haitokei, posts nyingine zipo kama kawaida, sijui nini kimewapata hawa wakubwa wa fedha...