I need a WEB API for sending Free SMS

Freelancer

JF-Expert Member
Sep 22, 2008
2,856
2,000
Jamani kwa mtu yoyote ambaye anafahamu WEB API ambayo naweza nikaitumia for free kusend SMS anijulishe. Nimejaribu Google Voice ila sijui kama kutuma meseji ni bure maana natuma meseji hazifiki.
 
Manchris Jbisd

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
693
500
Avatar mok

Msingi wowote wa kugain from given challenging circumstance ni make sure you do better from less cost.
So anaweza kuwa na sababu maalum. Giv him a break and help him!
 
Last edited by a moderator:

Manchris Jbisd

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
693
500
Kitu nachofanya sio kwa ajili ya faida. Nafanya for a good cause. Sasa habari za kuniambia napenda vya bure ndo nini. Unapotokea kwamba unaitaka kuisaidia community fulani na unatafuta cheaper solution ambayo haitacosdt hela ni kosa???
There is nothing wrong with to gain with less cost... Huyo jamaa doesnt get it!
 
Donn

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,438
2,000
Mkuu binasfi sijawahi ona SMS provider wa bure online, wengi hutoa demo tu, zaidi ni kuchagua provider mwenye rates ndogo. Ukiweka 10$ tu unatuma sms nyingi sana.
 
Freelancer

JF-Expert Member
Sep 22, 2008
2,856
2,000
Mkuu binasfi sijawahi ona SMS provider wa bure online, wengi hutoa demo tu, zaidi ni kuchagua provider mwenye rates ndogo. Ukiweka 10$ tu unatuma sms nyingi sana.
Nimeamua kutumia Clickatell wao wanachaji kama 0.027 USD per message.
 
G12

Senior Member
Aug 31, 2012
160
0
Nimeamua kutumia Clickatell wao wanachaji kama 0.027 USD per message.
Nimecheki kuona jinsi gani tunawezapata hii service kule Tanzania kupitia Mobile Operator wa kule TZ, hadi sasa sijapata jibu.

Wewe unatumia technology gani kwenye application yako ambayo unataka ku integrate na SMS service?
 
Freelancer

JF-Expert Member
Sep 22, 2008
2,856
2,000
Nimecheki kuona jinsi gani tunawezapata hii service kule Tanzania kupitia Mobile Operator wa kule TZ, hadi sasa sijapata jibu.

Wewe unatumia technology gani kwenye application yako ambayo unataka ku integrate na SMS service?
Hizi mara nyingi zinakuwa ni based on REST API. Kwa hiyo any programming language yenye web support can do the job. Mfano Php, Python, Java etc.

Hiyo kampuni inaitwa Clickatell wanafanya SMS dunia nzima. Na kama unataka bulky SMs unaweza negotiate nao wanaweza wakakufanyia bei ya discount kama utaingia contract ya kununua kila mwezi
 
G12

Senior Member
Aug 31, 2012
160
0
Hizi mara nyingi zinakuwa ni based on REST API. Kwa hiyo any programming language yenye web support can do the job. Mfano Php, Python, Java etc. Hiyo kampuni inaitwa Clickatell wanafanya SMS dunia nzima. Na kama unataka bulky SMs unaweza negotiate nao wanaweza wakakufanyia bei ya discount kama utaingia contract ya kununua kila mwezi
Yes, I know.

Njia nyingine ni kupata access ya SMS Server/Gateway ya mobile operator katika nchi yako au nchi ambazo zina consumers wa application yako.

Mobile operator anaweza kukupa hostname, account name na password then una route message zako moja kwa moja kwenda kwenyeSMS server ya operator, wao wana foward kama SMS kwenda kwa consumers wako.

Hii approach unakuwa umeondoa another Layer katika communication Stack layers ikiwa utatumia SMS service providers kama hao wa USA, kwani wao pia wanachukua message yako, then wanacheki receiver's home SMS server ndiyo wana route kwenda huko. Sasa kwanini na sisi tusiingie agreement na operators wa tz tuka route message zetu moja kwa moja?
 
Inaweza kuwa nice idea. Kama SMS zote local then itakuwa poa. Ila kama SMS ni combination na local na international then in terms of cost hawa clickatell wanaweza kuwa bei rahisi zaidi.

Kwa dunia ya sasa hivi ni vizuri ukafikiria expansion beyond local boundaries has kama application yako ni kwa ajili ya biashara. Customers wanaweza kuwa popote pale.

Halafu sijui kama service providers wanatoa support za APIs kama hizi kampuni amabazo zimespecialize kwenye hayo mambo.
 
Ok, sisi tuli focus kuandaa application kwaajili ya matumizi ya kule Tanzania zaidi.

Hapo unalipa about Tshs 45 per sms (NOT message), ikiwa message yako inazidi ukubwa wa sms watapiga hela zaidi. Sasa sisi kwa kuzingatia gharama na amount kubwa ya sms tunazotaka ku sambaza, tumeona vema tucheki na local operators wa kule Tanzania, kama wanawezakutupa hata kwa TShs 30 or less than that.

Hawa local provider sidhani kama wanakupa API, wewe mwenywe inabidi u code Library yako kwa ku implement low level messaging protocols au u extend library zilizoko online na ku zi modify pale utakapoona inafaa. Kuna sample na mifano michache online.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom