Web Development Special Class

Web Development Special Class

Ungependa kujifunza nini baada ya Kozi Hii ?


  • Total voters
    78
  • Poll closed .
mkuu ilivid inazingua kuinstall nilikuwa natka kudownload hizi videos
 
Dah!! Huu uzi umeanza lini wakuu? naona kama nimechelewa darasa vile but nitasonga hivyo hivyo asante sana mwalimu teacher sir ndugu Msamiati kwa darasa hili nilikua natafuta hii kitu siku nyingi sana mpaka nahisi imekuja kwaajili yangu vile!!

Kwa kweli lugha nayo ni moja kati ya mambo yanayofanya tuone kua mambo haya ni magumu but thanks umerahisisha na kuyaweka kwa kiswahili maridhawa kabisa ubarikiwe sana ndugu!!
 
Ahsante kwa kutuelimisha jamiiForums. Mkuu Invisible mungu akupe maisha marefu. Hii itasaidia wengi wasiokuwa na uwezo wa kulipia Fedha za chuo.
 
Last edited by a moderator:
Duuuuu ahsante sana Msamiati kwa kusikia kile kilio chetu. Tunaomba km kuna mwingine nae ajitokeze kutufundisha graphics ili hatimae ndoto zangu zitimie za kuwa one of the best graphics and web developer in the country!
 
Last edited by a moderator:
Nashauri pia, km humu ndani kuna web developers wafungue uzi kwa jina la "review class za web developers" lengo ni kupanua wigo wa taaluma hii ya web na graphics! Huko kwenye review class tutauliza maswali kadha wa kadha!
 
Somo zuri sana MSAMIATI na umetumia lugha pendwa kwa tz BIG UP
 
Msamiati Nice work
btw

Nitakufundisha
Nitakapokufundisha
Nitafundisha

sir in teaching you'll learn, in learning you'll teach
I think it's more precisely and politely, to use

Tutajifunza
Tutakapojifunza

N:B suggestion
 
Last edited by a moderator:
Nashauri pia, km humu ndani kuna web developers wafungue uzi kwa jina la "review class za web developers" lengo ni kupanua wigo wa taaluma hii ya web na graphics! Huko kwenye review class tutauliza maswali kadha wa kadha!

Idea nzuri, nitafanya hii kazi.
 
Nina swali Msamiati

1. Tunajifunza kutengeneza website, je hizi zote tulizopitia hapo juu kutoka unity 1 hadi sasa, swali..wakati wote najenga naziandika wapi ktk komputer yangu?J e ni kwenye desktop, nimefungua file/folder kwenye desktop yangu, kwenye MS Word ktk desktop yangu..wapi naiweka ili baada ya kumaliza niirushe kwenye www.?? au nakuwa naanza kuzipnga tayari tayar kwenye pad/word? then baadae naipandisha?
 
Back
Top Bottom