Vacancies at TRA

mkulima maskini

JF-Expert Member
May 3, 2015
254
49

TRA would like to recruit dynamic experienced and qualified personnel to fill vacant positions in the Research & Policy, Human Resources & Administration and Board Secretariat & Legal Services Departments. Applications are therefore invited from suitably qualified Tanzanians for the following positions:

1.Principal Research Officer

2.Principal Statistician

3.Senior Research Officer

4.Research Officer-5.Statistician

6.Business Intelligence Analyst

7.Business Analyst

8.Principal Human Resources Officer

9.Senior Human Resources Officer

10.Human Resources Officer

11.Supplies Officers

12.Legal Counsels

13.Records Management Assistants

Note: Deadline for application is 25/6/2015, for more details on position and applying pls go to: http://www.tra.go.tz/index.php/vacancies
 
Nimejaribu kutafuta ile post ya Business Intelligence Analyst zilizotangazwa na TRA kule kwenye system yao haionekani. Yaani pale unapotaka ku submit application kuna sehemu unapochagua vacancy , hii post haitokei, posts nyingine zipo kama kawaida, sijui nini kimewapata hawa wakubwa wa fedha hapa nchini. Mwenye kujua atujuze.
 
mi nikifika kwenye kusubmit application haionyesh jibu lolote au nifanyaje msaada waungwana
 
Nimejaribu kuapply TRA ila portal yao inasumbua sana, najaza nikitaka ku save inagoma alafu paji inafutika kabisa Najua wapo waliofanikiwa kuapply humu tujuzane hizi nafasi sitaki kuzikosa.
 
mimi nikimaliza kujaza peji mfano qualification nikisave inakoma halafu peji inafutika kabisa nimejaribu mpaka nimechoka wadau msaada kwa waliofanikiwa kuapply
 
Nimejaribu kuapply TRA ila portal yao inasumbua sana, najaza nikitaka ku save inagoma alafu paji inafutika kabisa Najua wapo waliofanikiwa kuapply humu tujuzane hizi nafasi sitaki kuzikosa.

Habari.

Pole sana kwa usumbufu uliopata. Mimi nime apply na haijanisumbua hata kidogo. Ila nina connection nzuri sana ya internet. Itakua ni mtandao upo chini. Jaribu kuta internet ilio na speed na isiokua chini, Utafanikiwa.
 
Kitu cha pili inabidi uwe na spidi sana kwani naona inakuwa active kwa muda kadhaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom