Ajira Utumishi - Recruitment portal

Ajira Utumishi - Recruitment portal

Barua ya maombi unaweza kuacha kwenye ms-word au ukaiweka kwenye pdf according to instruction from portal
 
Mkuu Kuku wa Kienyeji, wiki jana nimecheki Appication status ya nafasi nilizoomba nikakuta 'First Interview' leo tena asubuhi nimechek nimekuta 'Application in progress' kipi ni kipi mkuu??
 
Namimi pia yani nimebaki nashangaa hii ndio nini sasa.wahusika wa utumishi tunaomba majibu kama mpo humu
 
wakuu mbona leo nimeingia kwenye website yao hakuna application on line yaan hakuna vacancy kwa sasa na wakati kuna tangazo lao la 6/05 na mwsho wa kutuma n 20/05..
 
hilo la naot, unatuma posta maombi

Hawa utumishi shida kweli, kuna majina ya watu kufanya usaili wameyatoa jana 11/5/2015 kwa jili ya usaili ya wa 18-10/5/2015, lakini ukiangalia kada ya Ukufunzi daraja ii (electrical engineer) walitangaza nafasi 20 lakini majina wametoa 9.

Cha kujiliza wenye sifa hawakupatikana? na si ingekua bora wazirudie nafasi hizo ili kuleta ushindani, au walikosea siku ya kutangaza nafasi za kazi hazikua 20?
 
Wana JF naombeni mnijuze kwenye upande wa Application status nimekuta wameniandikia Application Review in progress,wanamanisha nini?
 
Waliandka hvyo n nashukuru nmeitwa kasichana Mimi!! Wacha tukauane kwenye panel
 
Back
Top Bottom