Recent content by funguo

  1. F

    JamiiForums Tanzania Maisha Yangu na VVU mwilini

    asanteni wapendwa kw amichango yenu.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Omy Dimpoz: Video hii haiendani na wimbo.....

    au bure?maaaanina zenu mnaaibisha taifa
  3. F

    JamiiForums Tanzania Omy Dimpoz: Video hii haiendani na wimbo.....

    ooh umeniwahi,....maana baada ya kuiona nimekimbilia jf nipost how ---- the video iz..bora diamond mara elfu!!yani Vanesssa na exposure yako yooote iyo ukaamua kukubali video hovyo kama hiyo itoke>?what a shame...the audio is superb ila video ingemtangaza zaid nje..but what u did ni kutupa hela...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Biashara Gani Ina faida Nzuri?

    fanya kilimo kijana wangu....kama ni biashara basi iwe inayohitaji minimum supervision..otherwise kilimo
  5. F

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta: Wa kuogopwa urais 2015 ni Dr. Slaa tu

    mbona Nape alijibiwa?...Naomba Dr na hili pia Sita ajibiwe kiukamilifu..tuache ushabiki...piiipooooooooooooz
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kafukuzwa kazi, namuacha

    huyu dada kama anavyopost humu ni kweli basi ana matatizo makubwa sana........nikiambiwa nichague kati ya hela,kazi,mke au kujitambua..nitachagua kujitambua
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Makame Mbarawa Umetuangusha TTCL Bungeni

    nashangaa kuwa mchangiaji wa kwanza...mambo ya msingi kama haya watu hawachangii wanachangia mmu tu...TTCL ni kampuni la umma na lina hali mbaya kimaamuzi..waziri do something
  8. F

    JamiiForums Tanzania Corruption SCANDALS at TTCL

    Na hii thread ipo kimyaaaaa..wachangiaji hatuwaoni...shame on TTCL management.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    hali ni mbaya kwa kweli....
  10. F

    JamiiForums Tanzania kibonde afiwa na ndugu yake mwananyamala hospital

    rip kibonde... ( ndugu yako)
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tofaut za airtel modem za 30,000/= na 70,000\=

    piga 100
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kikwete safarini TENA!

    huu mgomo haujawahi kumhusu
  13. F

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea kama ingetokea siku na mimi nijihisi nimeambukizwa UKIMWI...

    kwa iyo wale ambao tumepima tukakutwa tumeathirika Mungu hatupendi na sio mwema kwetu..si ndio!! in this life jaribu kujifunza kwamba kila kitu kinatokeakwa sababu ambazo wewe au mimi hatuzifahamu.......hakuna mtu asiependa uhai wake;wewe ulienusurika kuambukizwa haimaanishi ndio mwisho wa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania UKIMWI na ajira maofisini

    jambo JF tuko pamoja..........leo naendelea na utaratibu ule ule wa kukumbushana juu ya suala hili la Ukimwi na virusi vya ukimwi... leo tuangalie hili suala limekaaje maofisinimwetu.kama mnavyofahamu mimi pia ni muathirika ninaeendelea n akazi zangu kama kawaida...najitambua na wala hainipi...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Barcelona 3-chelsea 1

    mmeaibikaje.....shnezy
Back
Top Bottom