Maisha Yangu na VVU mwilini

Maisha Yangu na VVU mwilini

Huwa wanapewa ushauri how to gegedana bila kupeana maambukizo mapya kubwa na la msingi ni kumanage kuandaana vya kutosha especially kwa upande wa mwanamke....................i know couple imelast for about mwaka wa tano sasa healthly and happier til this moment
mkuu, hapo wanakuwa wangegedana kwa kutumia mipira ama vipi?
 
Hongera kwa courage uliyonayo mkuu ila ningeomba uanze campaign kwa huyo ex wako bcz the chance is high kua nae ameathirika probably anajua au hajui

Huoni atakua anausambaza either kwa kutojua or makusudi?????mweke chini umweleze ukweli na kumwelemisha awe na mtazamo kama wako for the love of God!!!!!!!
 
mkuu, hapo wanakuwa wangegedana kwa kutumia mipira ama vipi?

Maandalizi ndio huwa la msingi mkuu kuavoid kabisa michubuko wakati wa tendo so kama wakiona namna gani vipi basi condom hutumika kama yanaridhisha then wanajiachia tu
 
Nadhani hapo chini kaelezea wazi kuwa hiyo thread ilikuwa ya mwaka 2012, ila saivi kaupdate 2014 kuwa ashampata mwenza na tayari washazaa mtoto ambaye sio positive!! nimeipenda hii, Mungu ni mwaminifu sn. Nakupongeza sn mtoa maada kwa ajasiri wako,na Mungu aendeleee kuwalinda na kuwaletea furaha kwenye maisha yenu.

USHAURI KWA AMBAO BADO HAWAJAAMBUKIZWA HIV: Jamani UKIMWI upo , haujaisha, tuendelee kuchukua tahadhari zakujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa huu! Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom